Nyaraka hizi zikiangukia mikono mbaya, zinaweza kutumika kwa utapeli (identity theft), kuibiwa pesa, au kuharibu sifa ya mtu/kampuni.
Chanachana (Shredding): ✂️
Hii ndio njia salama zaidi. Ikiwa huna mashine ya "shredder" ofisini au nyumbani, hakikisha unachana karatasi hizo vipande vidogo...
Kwa mujibu wa wa kifungu cha 60 & 63 cha Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Toleo Namba 44 la 2023 kusambaza taarifa binafsi kuhusu migogoro ya kifamilia ya watu bila idhini ya wahusika ni kukiuka haki ya faragha.
Na iwapo ukapatikana na hatia kwa mtu binafsi anapaswa kulipa faini isiyopungua...
Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita?
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa.
Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema kuwa mtu au taasisi yoyote itakayobainika kukiuka faragha au kutumia taarifa binafsi bila ridhaa ya muhusika au kinyume na taratibu zilizowekwa kisheria, itawajibishwa ipasavyo bila kujali hadhi au ukubwa wake.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar...
Ili kujilinda na ukatili na utapeli mtandaoni, ni muhimu kuwa makini na aina ya taarifa unazoshirikisha (share) mtandaoni.
Epuka kutoa taarifa binafsi kama namba binafsi za simu, anwani za makazi au picha nyeti. Taarifa hizi zinaweza kutumiwa vibaya na kusababisha ukatili kama vitisho...
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, taarifa binafsi zimekuwa mali nyeti yenye thamani kubwa kuliko hata fedha. Hata hivyo, kwa vijana wengi wahitimu wa vyuo, hususan wanaotafuta ajira au kujihusisha na mifumo ya taasisi mbalimbali, ulinzi wa taarifa binafsi bado ni jambo linalotia hofu kubwa...
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
binafsi
bodi
bodi ya tume ya ulinzi wa taarifabinafsi
forums
kujiuzulu
maxence melo
mjumbe
mkurugenzi
mkurugenzi mtendaji
nafasi
taarifataarifabinafsi
tume
ulinzi
ulinzi wa taarifa
ulinzi wa taarifabinafsi
Taarifa binafsi ni mali ya mhusika (mmliki wa taarifa). Haitakiwi kutolewa na mtu mwingine, kwani mhusika ndiye anayefahamu taarifa zake kwa usahihi, isipokuwa pale inapobidi kisheria au kwa ridhaa yake.
Ukusanyaji wa taarifa binafsi unatakiwa kufanywa na mamlaka au vyombo husika kwa kuzingatia...
Tume ya Kulinda Taarifa Binafsi nchini imetoa uamuzi kuhusu ulinzi wa taarifa za mtoto kwa kumtoza faini ya shilingi milioni 25 (TZS 25,000,000) kwa kosa la kuchapisha na kutumia kibiashara picha ya mtoto mchanga kwenye Instagram bila ridhaa ya wazazi wake.
Miongoni mwa mambo mengine, Tume...
Wanabodi, leo nimepata nafasi ya kuipitia hii Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na nilichogundua ni jambo la kutia mashaka.
Yale malodge, maguest house na hata baadhi ya nyumba ndogo za kulala wageni ambazo huwa "wanawaanika ma baby daddies" au wateja kwa staili ya rejesta za wazi, kwa...
Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi?
Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
Denmark iko mbioni kuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kutoa haki miliki kwa watu juu ya sura, sauti na miili yao ili kukabiliana na deepfakes za AI.
Kupitia pendekezo jipya linaloungwa mkono na karibu vyama vyote nchini humo, sheria ya hakimiliki itarekebishwa ili mtu aweze kudai haki juu ya...
Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini.
Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi.
Wanakufuata wakiwa na mwenyekiti wa kijiji chako au kiongozi mwingine wa kijamii kutaka uwatajie namba ya LUKU na namba ya...
Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
Makarani wanaotuandikisha kwenye daftari la mpiga kura wawe na siri wanapouliza taarifa zetu binafsi kama vile mahali pa kuzaliwa, namba ya simu, mwaka wa kuzaliwa n.k
Karani anakuuliza mwaka wako wa kuzaliwa unamtajia halafu na yeye anaurudia kwa sauti kubwa ilhali watu wengine wapo kando hapo...
Dkt. Noe Nnko
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi na mashirika kuwa makini katika matumizi ya taarifa za watu, kwani mtu yeyote ambaye taarifa zake zitatumika bila idhini anaweza kudai fidia ya hadi Sh. milioni 100, kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza Machi 1, 2025...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa...
Kwa mujibu wa Kifungu cha 21 (1) cha Kanuni Za Mawasiliano ya Kielektroniki Na Posta Kuhusu Usajili wa Laini Za Simu mwaka 2025 ni kosa mtu kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa kitambulisho cha mtu mwingine au kuruhusu laini ya simu iliyosajiliwa kwa kitambulisho chake itumiwe na mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.