Maneno haya aliyazungumza aliyekuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, May 25th, 2013. Yeye hayupo, na kwa maana halisi huo muhimili wa Iran hapo mashariki ya kati ndio umevunjika! Yahya Sinwar alianzisha vita ambayo hakujua kabisa mwisho wake! Hakuna chochote cha maana walichokipata Iran...