super brand

Super Brand Mall (Chinese: 正大广场; pinyin: Zhèngdà Guǎngcháng) is a major Shanghainese shopping center. Set in the prime location of Lujiazui Finance and Trade Zone, Super Brand Mall has views of Shanghai's famous Bund. As a large-scale, international urban family-oriented entertainment and shopping centre developed by Shanghai Kingshill Limited, a subsidiary of the Charoen Pokphand Group of Thailand, Super Brand Mall has 13 floors, with a total gross floor area of the app. 250,000 m2 (2,700,000 sq ft). The mall has received ISO9001 certification since 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania ITV Super brand kwa hili sio sawa!

    Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji asiye na uwezo hivyo kuathiri kabisa uwasilishaji wa taarifa kwa sisi walaji Mfano ni Msomaji wa...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kwa chombo Cha habari kinachojiita super brand kufanyia ujinga huu

    Huu ni ujinga utoto na uoga kwani kila habari kwa sasa wanakuwa wanajua kabisa mapokeo yatakuwaje. Ni heri kama wameshalijua hilo
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

    Ivi hawa jamaaa wanatumia CCTV Camera😂😂
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kumhusu Le Mutuz Super Brand!, Je Wajue Alijitabiria Kifo Chake Kabla?. Aliandika Kila Kitu. Could He Be The Top Most JF Celeb Wetu?

    Wanabodi, JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, kwenye makaburi ya familia ya Malecela pale Mvumi Mission, Dodoma. Kuna mengi...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania ITV kushinda Tuzo ya Super Brand mara sita mfululizo kuna nini nyuma ya pazia?

    ITV muda mfupi wametoka kupewa hii tuzo ikiwa ni mara sita mtawalia tangu waanze kuipata huku ukusanyaji wa habari na usambazaji wake ukiwa wa hovyo sana achilia mbali uchambuzi. Hawana EPG, sauti hovyo tena zenye mwangwi wakati mwingine, picha za hovyo, hakuna HD pale ni hivyo anashindwa...
Back
Top Bottom