suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

    Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣 Katia aibu sana
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  3. JamiiForums Tanzania Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

    Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣 Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika.. Aibu sana umewatia Wazanzibar...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  5. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei?

    Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa mapema. Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania UDOM kushirikiana na madaktari bingwa nchini kutafuta suluhu ya magonjwa ya ndani

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Hospitali yake imeshiriki katika Kongamano la Mwaka lililoandaliwa na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA), lililofanyika leo tarehe 29 Mei 2026 katika ukumbi wa Dodoma City Hotel jijini Dodoma. Lengo la kongamano hilo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mkwara wa Marekani: Eti Samia Suluhu anataka kumwaga Manyanga

    Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  9. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu , alitudanganya kapunguza Misafara

    Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara. Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne. Tulitafuta Rais tukampata Samia.. Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman Note: Hii ni Propaanda
  10. JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
  11. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

    Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maraga, Odhiambo Slam Suluhu Remarks as Gen Z Crackdown Debate Escalates

    A fresh political storm is brewing in East Africa after remarks attributed to Samia Suluhu Hassan on cracking down on Gen Z activism sparked sharp criticism from Kenyan leaders, including former Chief Justice David Maraga and lawyer Willis Otieno. According to reports, Maraga said he was...
  14. JamiiForums Tanzania FALSE Samia suluhu hassan has allegedly given South African citizens 48 hours to leave the country

  15. JamiiForums Tanzania The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

    From The Economist April 30 2026 Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president? Photograph: Xinhua News Agency/Eyevine Apr 30th 2026 | 3 min read Tanzania has had dramatic ups and downs. In the 1970s the government of this east African country forced farmers into collective...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

    Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣 Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua White Elephant.. Specification zake zinabaki kuwa mali ya Rais🤣🤣🤣 Dau lililozindua wakaliita meli.. Eti ni kijimeli...
  17. JamiiForums Tanzania Naiona hekima, busara, unyenyekevu na uzalendo mkubwa wa Rais Samia. Awe darasa kwetu sote

    Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana. Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la Africa unaona kabisa wanakosa hekima, unaona kabisa hotuba zao zimejaa kubomoa hata jumuia zetu...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  19. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

    Salaam Wakuu, Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake. Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo. Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
  20. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…