Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.
Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,
1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,
2...
Wana wa stratejia ndani ya CCM wamefanikiwa sana kumleta Makonda Paul ambaye ni msukuma mvaa utepe mkononi unaoashiria majonzi .
Makonda ameenda kanda ya ziwa na kuhakikisha kura za "kisukuma" zinapatikana.
Heko kwao kwa wanazuoni ndani ya ccm kwa mpangilio bora wa kampeni.
Mwaka 2016 hadi 2020 wakati wana Mtandao wanashughulikiwa vilivyo na Sukuma Gang walianza kuona umuhimu wa kuwa na Mchakato wa Katiba Mpya ili kuwabana Viongozi wasitumie madaraka yao vibaya.
Kipindi kicho Sukuma Gang walikuwa na msemo eti Katiba haileti ugali mezani.
Sasaivi Sukuma gang...
Amani iwe nanyi Wanabodi.
Baada ya kulielezea kundi la Wanamtandao napenda tena kuwaletea Uchambuzi mdogo kuhusu kundi kinzani la Wajamaa ndani ya Chama cha Mapinduzi. Hawa wanajulikana kama Sukuma Gang au Chato Gang.
Kuna nadharia nyingi zimeenea kwa miaka kadhaa kuhusu uwepo wa Kundi la...
TAL anatetea maslahi ya Tanganyika.
Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa.
Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao
Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote wa jiwe bila kujali makabila au asili yao
Hili Genge lilitamba sana miaka ya nyuma na kutuaminisha kwamba lenyewe ndiyo lina hati milili ya uongozi wa nchi yetu
Mambo yanaenda kasi sana, na tayari chama chetu pendwa kimekuja na azimio., azimio linalilosababisha vijana zaidi ya 1000 kutembea kutoka Dodoma hadi Dar-es Salaam kuliunga...
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .
Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .
Ni hayo tu .
DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi...
Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa.
Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama .
1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi
2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina.
Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
Wazee wanasema Ngoma ya watoto haikeshi. Hicho ndicho ninachoweza Kusema.
Sisi tulipaza sana sauti kumwambia Samia unaelekea kwenye matope tukaishia kuitwa sukuma gang. Oooh mara Tukazikwe Naye Chato. Watu wazuri hawafi.ujinga Mtupu
Kila aliyefungua kinywa na kumsonda kidole Samia aliitwa...
Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi.
Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa hamu kubwa Sana na sukuma gang ili wajaribu kutupa karata yao kumuondoa Samia na kundi lake. (Ndiyo...
Kwa namna mambo yalivyokuwa yanaenda sukuma gang walikuwa hawapumui kabisa na walikuwa wamebanwa kila kona. Maombi yao yalikuwa ni kuona Rais Samia anakosea ili wapate mlango wa kutokea.
Mwanya umejitokeza kwenye hili sakata la DP World naona sukuma gang wanasukuma ajenda zao kwa kasi ya...
Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni...
Friends and Enemies,
Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa.
Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
Inashangaza sana, hata wabunge wanaopinga ufisadi na kutetea masilahi ya taifa kama Luhaga Mpina wanabatizwa kuwa hao ni kundi ka Sukuma gang!
Kwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi tunataka uwajibikaji na kukomesha wizi na uzalendo. Hivyo mliokuwa mnawatukania na kumdhihaki aliyewafia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.