"Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
"....(No Reforms no election) na yenyewe ni kauli mbiu, nchi lazima iongee...hakuna wakati ambapo kumekuwepo na nchi bila maneno..."-Makamu Mwenyekiti CCM -Stephen Wasira.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema wagombea wakiwamo wabunge wanaomaliza muda wao watakaochukua fomu Julai 2, 2025 na kuzirudisha, baada ya vikao vya chama hicho, watatazamwa na kupendekezwa wagombea wanaokubalika na wananchi
Amesema baada ya Rais Samia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.
Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na...
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya.
Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini
Ratiba zimevurugika
Mara mgongo,mara miguu,mara kifua
Uzeeuna...
Wakuu,
Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa amesema watu wa CCM wamegeuka kuwa wasemaji wao, lakini wao msemaji wao ni mmoja tu, Brenda.
Anasema ukiwasikiliza wasemaji wa CCM kama wasira, makalla wamekuwa kama wasemaji wao, wanawasaidia kufikisha ujumbe lakini, wakome maana...
Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu, hivyo Watanzania wajiandae kwa uchaguzi huo.
Wasira amesema watu wanaotoa hoja kwamba uchaguzi mkuu...
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka!
===
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
Hellow!
Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba.
Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute.
Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria.
Wasira anaongeza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.
Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea...
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti...
Wakuu,
CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa.
Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho.
Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...