Stergomena Lawrence Tax (born 6 July 1960) is Tanzania's minister of Defence and National Service the first woman to hold the title since the country’s independence. She was previously the Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation. Before that she served as the executive secretary of the Southern African Development Community (SADC).
Katika umri wa miaka 66 kwa nafasi ya kuzindua majengo, semina, mikutano, warsha na makongamano sio mbaya sana!!
Nimemkumbuka huyu mama, yuko wapi siku hizi?
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine.
Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
“JWTZ hupokea amri toka kwa Amri Jeshi Mkuu na si vinginevyo. JWTZ ni Chombo mahususi kwa shughuli mahususi, tuendelee kuliamini, kulipa uhuru na kuliwezesha kutekeleza majukumu yake bila kuingiliwa,” amesema Dkt Stergomena Lawrence Tax, Waziri wa Ulinzi na JKT, wakati akiwasilisha makadirio ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania, maarufu kama Mashujaa.
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA BRIGEDIA JENERALI CHAKILA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 26 Juni 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Msalato, jijini Dodoma, kuaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.