Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo salama, wananchi wakumbushwe na kuhamasishawa kuwapigia kura wagombea wenye sifa ambapo kwa upande wa urais ni Dk. Samia Suluhu Hassan anayetokana na CCM.
Amesema zipo propaganda chafu katika mitandao...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza.
Amesema kukamilika kwa miradi mikubwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"
"Uhalifu siyo ishu ya...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema wanaofanya chokochoko si wananchi wote, bali ni watu wachache wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii. Amesema Rais Samia ametekeleza majukumu yake kwa muda mfupi kwa mafanikio makubwa, na kumsihi asibabaishwe na kile alichokiita “chokochoko...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kusimamia na kusisitiza mfumo wa stakabadhi kwa wakulima na kwamba chama chochote kitakachokuja na sera ya kuufuta kinataka kuleta wizi na dhuluma kwa wakulima.
Hayo yameelezwa Oktoba 1, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kunung'unika na kufikisha ujumbe wa changamoto mbalimbali kwa njia ya maandamano kumepitwa na wakati
Amesema Watanzania wanataka maendeleo ukiwemo ujenzi wa miundombinu muhimu ambayo itarahisisha shughuli za...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kwa miaka minne ya uongozi wake, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanikisha mambo makubwa, hivyo Watanzania wanapaswa kumrudisha madarakani ili aendelee kuleta maendeleo.
Wasira amesema hayo leo, Septemba 27, 2025...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaonya baadhi ya wagombea udiwani katika maeneo mbalimbali ambao wameanza harakati za kusaka uenyekiti wa halmashauri na umeya, kabla ya uchaguzi.
"Kwa madiwani ninawaomba sana sio hapa Mkinga, hapa sijaambiwa lakini huko...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania.
Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Chama kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi.
Aidha, amesisitiza wananchi wandelee kukiamini na kukipa nafasi Chama kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo...
Katika kampeni zinazoendelea, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, alisisitiza Sera ya Maji, akizungumza mbele ya wananchi wa Musoma Mjini.
Akitoa kauli yake, alisema: "Ni jambo la aibu kwamba tunaishi na maji lakini hatuna maji," kauli iliyolenga kuibua mjadala kuhusu changamoto ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.
Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amewataka watu wanaohoji kwanini wanamsifia Mwenyekiti wa chama hicho Samia Suluhu Hassan kuacha kulalamika badala yake nao wafanye mambo mazuri ya maendeleo ili wasifiwe.
Amezungumza hayo mjini Musoma Septemba 6, 2025 kwenye...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa Otoba 29, 2025, Dk. Samia Suluhu Hassan, atapigiwa kura nyingi kwa sababu wananchi wameiona kazi kubwa aliyoifanya kuleta maendeleo kwa miaka minne iliyopita...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena.
Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu.
Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.