starlink

Starlink is a satellite internet constellation operated by SpaceX, providing satellite Internet access coverage to 40 countries. It also aims for global mobile phone service after 2023. SpaceX started launching Starlink satellites in 2019. As of September 2022, Starlink consists of over 3,000 mass-produced small satellites in low Earth orbit (LEO), which communicate with designated ground transceivers. In total, nearly 12,000 satellites are planned to be deployed, with a possible later extension to 42,000. Starlink provides internet access to over 500,000 subscribers as of June 2022.The SpaceX satellite development facility in Redmond, Washington houses the Starlink research, development, manufacturing, and orbit control teams. The cost of the decade-long project to design, build, and deploy the constellation was estimated by SpaceX in May 2018 to be at least US$10 billion.
SpaceX expects more than $30 billion in revenue by 2025 from its satellite constellation, while revenues from its launch business were expected to reach $5 billion in the same year.Astronomers have raised concerns about the effect the constellation obviously have on ground-based observation of the sky (photography) and how the satellites will add to an already congested orbital environment. SpaceX has attempted to mitigate astronomy concerns by implementing several upgrades to Starlink satellites aimed at reducing their brightness during operation. The satellites are equipped with krypton-fueled Hall thrusters which allow them to de-orbit at the end of their life. Additionally, the satellites are designed to autonomously avoid collisions based on uplinked tracking data.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
  2. Uganda Yazuia Uingizaji wa Starlink Kabla ya Uchaguzi: Huu Ndio Mtindo Mpya Sasa (Umejipangaje)?

    Habari wanaJF, Ni muda nimekuwa kimya humu, lakini kuna jambo muhimu limejitokeza jirani zetu Uganda ambalo lina uhusiano wa moja kwa moja na kile tulichokiona Tanzania wakati wa uchaguzi — hasa kwenye masuala ya intaneti na udhibiti wa mawasiliano. Uganda imetoa zuio la uingizaji wa vifaa vya...
  3. Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink

    Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink inayowezesha mawasiliano ya simu moja kwa moja kwenye nchi 14 za Afrika. Huduma hii ya satellite itazinduliwa mwaka 2026, kwa awali ikilenga kusaidia matumizi ya data na ujumbe mfupi (SMS) kwa simu...
  4. Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  5. Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  6. Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

    Kuna nyakati ambazo nchi huingia katika aina fulani ya ukimya usio wa kawaida—ukimya wa kidijitali. Mamlaka zinapositisha au kupunguza kasi ya intaneti, ghafla maisha ya watu milioni kadhaa hukwama: biashara husimama, wanafunzi hushindwa kuendelea na mitihani ya mtandaoni, na familia hushindwa...
  7. Tanzania Yaweka Masharti Mapya kwa Huduma za Satelaiti! Starlink ili kutoa huduma, inapaswa ashirikiane na Mtoa Huduma wa ndani

    Tanzania imeanzisha Mwongozo Mpya wa Haki za Kupokea Satelaiti (Satellite Landing Rights Guidelines) unaobadilisha namna waendeshaji wa satelaiti wa kigeni watakavyofanya biashara nchini. Chini ya kanuni mpya, waendeshaji wa kigeni wanaouza uwezo wa satelaiti kama vile bandwidth, sasa...
  8. Kuna shida Nchi hii yani Wawekezaji wageni wenye malengo na wananchi hawatakiwi

    Turudi nyuma kuna kampuni ya volkswagen ilikuja tanzania kutaka kuwekeza ila kona kona nyingi na maono ya kisiasa yakaonesha kwenda nchi jirani ambayo rwanda. Star link ambayo inatumia setelite zake kwa huduma ya internet nayo imebaki makaratasi wakati nchi zilizotuzunguka washapata vituo...
  9. Jua limekuwa ni adui mkubwa wa Satelite za Starlink

    ad Kampuni ya SpaceX imeingia kwenye changamoto kubwa sana kwa kupambana na Adui ambaye asiyemtarajia kabisa, sio Kampuni pinzani au uchafu wa Anga bali ni Jua. Utafiti mpya unaonyesha kuwa kuongezeka kwa shughuli za jua na mabadiliko ya hali ya hewa haswa nyakati za dhoruba ya geomagnetic...
  10. Airtel Africa teams up with SpaceX to expand Starlink internet in underserved regions

    The rollout will cover Nigeria, Kenya, Malawi, Madagascar, Zambia, Rwanda, Niger, Chad, and the Democratic Republic of Congo, all markets where Airtel is already active Wakuu Hii deal leo Airtel Africa ame sign na Spacex Lakini Airtel Tanzania naona haiko Included? Je ili Kuambiwa kuwa Spacex...
  11. S

    Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment

    Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment In response to growing demand for reliable and affordable internet services across the country, Starlink Tanzania Ltd., a proud local company, is making a bold move into the telecommunications...
  12. Museveni aikaribisha Starlink Uganda, avutiwa na utoaji wa 'internet' kwa gharama ndogo

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema Jumanne kuwa amefanya kikao "chenye mafanikio" na wawakilishi wa kampuni ya intaneti ya satelaiti ya Elon Musk, Starlink, ambayo inapanua huduma zake barani Afrika na sasa inalenga kuanzisha uwepo rasmi nchini Uganda. Kupitia ujumbe alioutuma kwenye...
  13. Elon musk kuzindua huduma ya intaneti satellite ya Starlink nchini Uganda

    Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda. Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa kutoa intaneti yenye Kasi na usio na wasiwasi Hatimaye wameomba leseni Rasmi ya kufanya kazi nchini...
  14. Ishu ya starlink imefika wapi?

    Salamu, kichwa cha habari kinajieleza, TCRA wamefikia wapi na hawa wawekezaji?
  15. Elon Musk: Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi Africa ya Kusini kwa sababu mimi sio mtu mweusi

    Elon Musk ameendelea na mvutano wake dhidi ya serikali ya Afrika ya Kusini kwa kusema kuwa kampuni yake ya Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi nchini humo kwa sababu yeye sio mtu mweusi https://x.com/elonmusk/status/1897954924337467555?t=qQO2IGVFCzGBWI1Vh-_Ofw&s=19
  16. Elon kamaliza kazi Simu zetu hizi zitakua na uwezo wa kushika mtandao wa StarLink moja kwa moja

    Sasa mkombozi wetu ametufikia tena. Ni jambo la kumshukuru Mungu. Jamaa yetu Elon kakinukisha huko. Mnalionaje hili wakuu, Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink. Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel. Tubaki na biashara za Miamala. Source...
  17. D

    Yas fiber ni kiboko cha speed hata starlink hawaoni ndani. check hizi speed

    Yas ni balaa na nusu
  18. Elon Musk atuhumiwa kuivunja USAID kutokana na uchunguzi wake kwa Starlink kukiuka vikwazo dhidi ya Urusi

    Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine! Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa...
  19. Rais Samia tunataka Starlink Tanzania

    Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante!
  20. Starlink inasimikwa lini Tanzania? Tuungane kwa pamoja

    Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Nchi karibu zote Afrika tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…