sports

  1. Haya 'Kuku Brain Bado Tunatengeneza Kikosi Sports Club' vipi tumeshauzindika tayari Uwanja wetu tutakaoutumia uliopo Jirani kabisa na Kawe na Lugalo?

    Kwani za chini chini ninasikia Jamaa ambao wameshatuweza ndani na nje jana wamemalizana nao ili uwe Nuksi nasi.
  2. Faith Kipyegon: African Goddess of Sports

    Huyu dada ni balaa. Kipaji kikiwa "fully utilised" haya ndiyo matokeo yake. 3 time Olympic Champion 3 time world Champion Commonwealth Champion African Champion World Record holder Olympic Record holder African Record holder. Mungu aendelee kumbariki Faith. Hongereni sana Kenya.
  3. Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
  4. Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  5. M

    Natafuta sports academy

    Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka. Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo. Kama Kuna mtu anazifahamu...
  6. Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

    Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A) Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024. Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
  7. Heads of Sports at School of St Jude July, 2024

    We’re looking for qualified and passionate Heads of Sports! Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about providing students with opportunities to learn and develop through sport within a holistic educational program? Are you dedicated to making a...
  8. CANAL SPORTS NDIO MPANGO MZIMA AISEH!!

    Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa kiingereza!! Wakati Dstv ukilipa compact ya 64000/= unacheki epl tu! Uefa hakuna!!na watakupa game zisizo na...
  9. Saido Kanoute anasubiria nini kupewa 'THANK YOU' Simba Sports Club? Aachwe upesi sana tafadhali.

    Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
  10. T

    EXPRESSIONS OF INTEREST (EOI) - CONCEPTS FOR PROPOSED SPORTS PROJECTS AT THE SCHOOL OF ST JUDE, SISIA CAMPUS, MOIVARO, ARUSHA.

    Invitation: Interested and registered architectural firms are hereby invited to express their interest in carrying out the “Concepts for sports fields in the new land at The School of St Jude, Sisia campus, Moivaro ward, Arusha”. For more details, see the attached document.
  11. Hivi kuna aliemwelewa Mangungu kwenye interview yake leo pale Sports Extra ya Clouds FM?

    Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo. Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza...
  12. Kutokana na sakata linaloendela Simba Sports Club! Naomba mwenye nakala za Katiba ya Simba na Young African tuzipate.

    Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
  13. Simba Sports Club kuna nini kimejificha?

    @SimbaSCTanzania Muda huu nimekosa usingizi, kwani nalala ili iweje ikiwa baadhi ya watanzania wanamaswali mengi wasiyojua majibu yao. Viongozi wa Simba nani kawaroga kiasi kwamba mnajijali wenyewe na kusahau majukumu yenu? Mr @moodewji na wewe ujui jukumu lako mzee au yamayoendelea...
  14. Request For Proposals To Provide Consultancy Services at Young Africans Sports Club (“Yanga”) May, 2024

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services BACKGROUND Young Africans Sports Club (“Yanga”) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. Renowned fort its historical success, the club has secured a...
  15. D

    Ricardo Momo anaondoka Wasafi Sports Arena? Watu tunasikiliza kipindi hicho kisa 'Zandanii'. Tafadhari kaeni mezani

    I know I might be the one who stimulate Ricardo Momo to improve his presence in the show. But not him to resign. I believe wasafi can reach a deal with him. We depend on him to give us more accurate informationsℹ️ that media doesn’t have. The moment he resign especially near signing season...
  16. Let's prioritize women in household decision-making and sports participation

    I would love to prioritize women's empowerment in two key areas can foster significant societal change in household decision-making and sports participation. Mothers often sacrifice greatly, yet their voices in household choices are overshadowed by the power given to fathers. Implementing...
  17. Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

    Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!. POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika. Soma mwenyewe hapo 👇🏾
  18. FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  19. M

    BAKHRESA badili malengo ya Azam sports club

    Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri. Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji. Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
  20. Sub-Editor – Sports Desk at The Guardian Limited October, 2023

    Position: Sub-Editor – Sports Desk Department: Editorial Reporting Channel: Managing Editor Place: Dar es Salaam Duties and Responsibilities Checking and correcting editorial copy allocated by Sports Editor for facts, accuracy, taste, compliance with TGL house style, language use, clarity...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…