spika mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) . Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
  2. Black cap

    Spika mstaafu Tulia Ackson ana Siri ipi?

    Wakati wengine wakiwa kwenye msiba,tulia yeye katuma kijembe kwa njia ya mafumbo.
  3. Cannabis

    PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  4. Inside10

    Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  5. R

    Ushauri: Spika Mstaafu, nakuomba jiuzulu ubunge tafadhali

    Salaam! Nakusalimu Ndugu Spika Mstaafu T, kwa nafasi kubwa na nyeti uliyohudumu kwa miaka mitano ilopita, SI sawa kubaki back bench kama mbunge wa kawaida. Nilikushauri kutogombea lakini hukupokea ushauri wangu Katika thread zilizopita, lakini pia hujachelewa. Ombi: Jiuzulu ubunge Ili kurudi...
  6. Cute Wife

    PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha: Kiinua mgongo ambacho...
  7. McLaren

    Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  8. SSH2025_2030

    Protocols za Mazishi ya Spika Mstaafu zipoje?

    1. Atapigiwa mizinga? 2. Bendera ya Taifa je? NB: utaratibu wa Misosi na vinywaji hapo Msibani upoje?
  9. R

    Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

    1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA Wewe unasemaje?
  10. N

    Spika mstaafu Job Ndugai hana gari na dereva wa Serikali?

    Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe. Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la...
  11. Mpinzire

    Juan Guaido: Spika Mstafu wa Venezuela na Mshirika wa Nchi za Magharibi anavyopitia magumu kwa sasa

    Juan Guaidó ambaye aliungwa mkono na mataifa ya Ulaya mwaka baada ya kushindwa uchaguzi mkuu wa Urais na Nicolaus Maduro aliungwa mkono na mataifa yakimagharibi kuanzia Marekani na washirika wake wa Umoja wa Ulaya na kutangaza kuwa wao wanamtambua Juan Guaidó kama Rais wa taifa la Venezuela na...
  12. GENTAMYCINE

    Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  13. evangelical

    Spika akijiuzulu atapata hadhi ya Spika Mstaafu?

    Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya mishahara wake aliopokea kama spkika,diplomatic passport . Kwa subwoofer aliyejiuzulu itakuwaje?
  14. T

    Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

    Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile. Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
Back
Top Bottom