Wakuu, kwema?
Leo tuongelee hizi Spark plug na coils ambavyo ni vitu vya muhimu sana kwenye gari, na ndiyo zinazoamua kama engine yako irun smooth au rough wakati wa utendaji wa kazi.
Hivi viwili visipobadirishwa kwa wakati, gari linaanza kumiss (ile milio ya puh puh puh), rough hidle...