songea mjini

Songea Urban District is one of the five districts in the Ruvuma Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Songea Rural District, to the east by the Namtumbo District, to the south by Mozambique and to the west by the Mbinga District.
According to the 2022 Tanzania National Census, the population of the Songea Urban District was 286,285.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa ya Songea Mjini wanaonea Vijana wanaondesha Bajaji, wanawatoza faini Sh. Laki 5

    Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING. Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000). Tumeenda...
  2. aBuwash

    Napangisha fremu ipo Songea Mjini kabisa ugabe sehemu yenye mzunguko mkubw wa biashara

    Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA KILEMBA NI MILLION MBILI KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
  3. Ngonidema

    Niwakati sasa wa wakazi wa Songea Town kwenda na Eng. Koyoya Alfred Fuko aliongoze Jimbo

    Muda umefika sasa kwa wakazi wa Songea town kwenda na Eng. Fuko kwa maendeleo ya wa Songea town, tunaowamba wajumbe msifanye kosa hata kidogo siku ya kupiga kura
  4. Kikinga

    Lodge kali Songea Mjini

    Wakuu anaejua lodge nzuri Songea Mjini, iwe karibu na watoto wakali, J4 nitakuwa hapo, isiwe mbali na Mjini.
  5. R

    GE2025 Kada CCM Amandus Jordan Tembo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini

    Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi oktaba mwaka huu Toronto mdau wa maendeleo hapa Songea mjini na mwanachama hai wa chama cha...
  6. Just Pray

    PreGE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo. Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuanza Ujenzi wa Songea ByPass, Kuondoa Msongamano wa Maloli Songea Mjini

    SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa kujenga barabara ya mchepuo (Songea Bypass) yenye urefu wa kilometa 16...
  8. VINICIOUS JR

    Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

    Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie. Asanteni
  9. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Ziara ya Ndumbaro jimboni yaacha alama kwa wananchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amehitimisha ziara ya Kiserikali katika kata 21 za Manispaa hiyo ambapo amezungumza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa kata hizo. Miongoni mwa kero zilizowasilishwa na wananchi hao katika...
Back
Top Bottom