Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, amenusurika kuuwawa siku ya Jumanne baada ya msafara wake kushambuliwa na magaidi wa al-Shabaab.
Kulingana na serikali ya Somalia, msafara wa Rais Mohamud ulikuwa unaelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu kabla ya kushambuliwa na magaidi hao...