Wakuu..
Habari za mda huu.
Bila kuzinguka. Kijana wenu nimeachana na kutegemea pesa za mishangazi kama ilivokua zamani.
Safari hii nimekuja na official work kabisa.
Nachoitaji ni sapport zenu wakuu maana mjini pamoto
Hapa tunafanya kazi zote za print, mpaka 3D printing
Tunachapisha mabango ya...