soko la hisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Umenunua hisa za benki yoyote kwenye soko la hisa la Dar-es-Salaam?

    Sekta ya Bank inazidi kukua. Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
  2. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya soko la hisa la Dar es Salaam ndani ya miaka mitano mpaka sasa

    Kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, soko la hisa Tanzania limekuwa moja ya maeneo yenye faida kubwa kwa mwekezaji wa kawaida. Mfano halisi ni hisa za CRDB, ambazo zimepanda kwa zaidi ya 614.29%. Hata baada ya kutoa mfumuko wa bei wa wastani wa 15%, bado unapata ongezeko la takribani 599% — bila...
  3. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu juu ya soko la hisa DSE

    Imeandaliwa na Smart Finance SW 📚 Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na maarifa ya kutosha ni vyema kuwasiliana na wataalamu wakusaidie na anza kujifunza taratibu taratibu...
  4. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — gawio (dividends)

    🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
  5. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — Gawio (dividends)

    📘 🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na makampuni ya utalii, mashirika ya ndege binafsi, soko la hisa, n.k. nimestuka kuona hadi kwenye mabasi ya mikoani wachaga wamewekeza mno

    Nilihani ni kwenye kampuni za utalii, usafiri wa ndege, soko la hisa (DSE) ndiko walikowekeza zaidi, Nimeshangazwa upya kujua kumbe hadi kqmpuni zq mabasi ya mikoani wamewekeza mzigo wa kutosha, rough estimation wamiliki almost asilimia 40 ni wachaga, karibia nchi nzima hukosi kampuni yao...
  7. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 4: Faida ya kwanza ya uwekezaji kwenye soko la hisa — ongezeko la mtaji (capital gain)

    🔄 Kama utakumbuka, katika somo lililopita tulizungumzia maana ya soko la hisa, faida zake mbalimbali, changamoto na jinsi ya kuanza. 📍 Leo, tunachambua kwa undani moja ya faida kubwa ya uwekezaji huu — Ongezeko la Mtaji (Capital Gain). 1️⃣ Ongezeko la Mtaji ni Nini? Hii ni faida unayopata pale...
  8. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. 📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa China lashuka vibaya tangu 2008, Trump achochea kwa kuongeza ushuru baada ya China kukaidi kufuta ushuru, China yalalamika Bullying

    📅 Kabla ya Aprili 2, 2025 Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 % 📅 Aprili 2, 2025 Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani 📅...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania TRUMP: Sitizami soko la hisa

    Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ? Huyu ni Rais Trump 2020...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  12. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

    NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
  14. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

    Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
  15. greater than

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwekeze kwenye soko la Hisa na Mitaji?

    Kuna masoko takribani matano ya mitaji Soko la hati fungani Soko la hisa Soko la Kubadilisha fedha Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto Soko la Bidha/Dar Mercantile market Hayajepewa kibali na hakuna mamalaka inayosimamia....Usishiriki, sitoliongelea kwani bado sijajua mfumo wa kuliendesha...
  16. greater than

    JamiiForums Tanzania Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa, faida yake na mtu unawezaje kushiriki

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki.... Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni. 1. KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
  17. greater than

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake. na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye. Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
  18. greater than

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

    Soko la hisa la Dar es Salaam lina makampuni 26 yaliyo jiorodhesha. Katika hayo kuna makampuni yanayofanya vibaya na yale yanayo chechemea. Tuangalie orodha ya makampuni yaliyo na hali mbaya na uchukue tahadhari kabla ya kuwekeza. JATU Hili lina husika na cloud farming. Naliweka kwenye orodha...
  19. greater than

    JamiiForums Tanzania Kampuni bora katika soko la hisa la Dar es Salaam, 2022

    Hizi ndiyo kampuni 5 bora (zilizo orodheshwa katika Soko la hisa DSE) zilizo fanya vizuri kwa mwaka 2022... 5.TCC - Tanzania cigarette company Iliweza kujipatia faida ya tsh.billion 69,ambazo imeisaidia kuwa Earning per share ya pili kwa ukubwa. Lakini pia imeongoza kwa uwekezaji wa faida yake...
  20. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Peter Situmbeko ateuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Bodi ya Wakurugenzi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam limepitisha uteuzi wa Peter Situmbeko Nalitolela kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam. Uteuzi wa Bw. Peter Situmbeko Nalitolela kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam PLC Hii ni kuwajulisha umma...
Back
Top Bottom