Niwe mkweli, uchumi wetu kwenye kona ya soko la hisa una tabia yake yenyewe tu ambayo ni unique dunia nzima.
Hii ni sababu zile factors ambazo zinatambulika 'globally' kuathiri bei ya hisa za public companies duniani kote hapa Tanzania hazifanyi kazi.
Mfano mdogo sana, hisa za kampuni kama...
Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc.
Lakini pia ni sekta inayosimamiwa kwa ukaribu mkubwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa sababu inahusisha fedha za...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Peter Nalitolela, mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 13 Februari 2026, Dodoma.
Katika...
Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika.
Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake?
Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile?
Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako.
Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)
👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?”
📌 Jinsi ya kuipata ROE...
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
Sekta ya Bank inazidi kukua.
Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
Kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, soko la hisa Tanzania limekuwa moja ya maeneo yenye faida kubwa kwa mwekezaji wa kawaida.
Mfano halisi ni hisa za CRDB, ambazo zimepanda kwa zaidi ya 614.29%. Hata baada ya kutoa mfumuko wa bei wa wastani wa 15%, bado unapata ongezeko la takribani 599% — bila...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
📚 Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na maarifa ya kutosha ni vyema kuwasiliana na wataalamu wakusaidie na anza kujifunza taratibu taratibu...
🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda.
📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio.
1️⃣ Gawio ni nini?
Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
📘
🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda.
📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio.
1️⃣ Gawio ni nini?
Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au...
Nilihani ni kwenye kampuni za utalii, usafiri wa ndege, soko la hisa (DSE) ndiko walikowekeza zaidi,
Nimeshangazwa upya kujua kumbe hadi kqmpuni zq mabasi ya mikoani wamewekeza mzigo wa kutosha, rough estimation wamiliki almost asilimia 40 ni wachaga, karibia nchi nzima hukosi kampuni yao...
🔄 Kama utakumbuka, katika somo lililopita tulizungumzia maana ya soko la hisa, faida zake mbalimbali, changamoto na jinsi ya kuanza.
📍 Leo, tunachambua kwa undani moja ya faida kubwa ya uwekezaji huu — Ongezeko la Mtaji (Capital Gain).
1️⃣ Ongezeko la Mtaji ni Nini?
Hii ni faida unayopata pale...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji.
📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
📅 Kabla ya Aprili 2, 2025
Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 %
📅 Aprili 2, 2025
Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani
📅...
Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa
https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19
Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ?
Huyu ni Rais Trump 2020...
Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya.
Slaa ambaye alikuwa...
NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani
Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.