soka tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
  2. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo

    Naaam!! kila ligi msimu inapoanza na kuisha lazima kuwe na malalamiko ya kuonewa haswa kwa hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) ni muda sasa wa Tff na Bodi ya ligi kushughulika na hizi lawama au lawama na makelele yanayojitokeza kila msimu unapoisha Tff na Bodi ya ligi ishughulike na haya...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude, Okrah, Chama wameigharimu Yanga bilioni 1.3 ili tu kuwakera Simba

    Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima. Okra Milioni 300 kafunga goli moja. Chama milioni 600 Sina hela lakini nina akili! === Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Simba tumerudi rasmi! Tega sikio Saa 12 kamili jioni ya leo, chuma cha maana kinaingia!

    Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba wa Mafurikoni halafu Isisajili vyema, isifanye vyema na isichukue Ubingwa au kufika mbali CAFCC na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sasa tuone kama Simba itakufa

    Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji! Hongera SSC kwa operation hiyo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

    Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024. Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

    Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025. Wadau wa Soka hapo vipi? ==== Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

    Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  10. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya soka Tanzania: Njia kuu za kuleta maendeleo na mafanikio

    Michezo haswa soka, ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko makubwa katika Tanzania. Michezo ni zaidi ya burudani tu kwani inaweza kuwa injini ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, ili kufikia hilo ni muhimu kufanya mabadiliko katika tasnia ya michezo. Katika makala hii, nitaangazia...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si tuna hela, sasa mbona huu ni mwezi Aziz Ki anatutoa jasho kumbakiza Yanga?

    Endeleeni tu kuyatumia Mafanikio yenu ya Tigo Pesa mliyoyapata ili kuficha Umasikini mkubwa na njaa iliyoko Kwenu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ina pesa nyingi sana, timu ziwe 18 tuepushe presha za vilabu

    ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi, 1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries. 2. Kuna azam money na possible increase of fund every season. per team. 3. Kuna agency zinaongezeka. possible watu wana...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Timu ya Biashara United imeshambuliwa vibaya sana. Viongozi wao wawili hawajulikani walipo

    Biashara United Mara wamefika mkoani Tabora na kupokelewa kwa kipigo asubuhi hii wakati wanaenda kwenye pre match Meeting. Technical director Omary Madenge ameshambuliwa sana yupo kwenye hali mbaya lakini pia amenyang’anywa baadhi vitu alivyokuwa navyo. Pamoja na hayo viongozi wawili wa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata

    Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 === Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za ‘’VAR’’ na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadaye akisema uamuzi huo...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu apendekeza msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR

    Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu. Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa...
  16. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hii Yanga ukiinyamazisha tu lazima ikulambe!

    Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi. Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu. #Nisameheniibureeepls
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya PlayOff ya ligi kuu Tanzania bara, unatabiri yapi kutokea ?

    kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi Daraja la Kwanza. ROUND 1 🕳️Tabora United vs Jkt Tanzania - 04/06/2024 🕳️JKT Tanzania vs Tabora...
  19. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

    Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
  20. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kipimo chenu Kombe la Shirikisho ni kufika Fainali na si vinginevyo. Mliwabeza Yanga sasa ngoja tuwaone

    Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna...
Back
Top Bottom