Hello JF.
Binafsi nimekuwa mpiga masanga kwa takribani ¾ ya maisha yangu. Masanga imenipa deals, mabalaa, fedheha, madem, wana, masnitch n.k.
Sasa imetosha. Nimemua rasmi kuacha. Siku yangu ya mwisho kunywa, ilikuwa ni Oktoba 15.
Kwa mujibu wa Gemini, phase za kuacha pombe na yanayojili...