siwezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

    Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni. Shikamooni. Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
  2. JamiiForums Tanzania Siwezi walaumu kopola na mkewe, maana tofaut na watu weng, wana uthubutu wa kupambania fursa, fursa iliopo mbele yao ya watu wa imani za kufikirika

    Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama. Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  4. JamiiForums Tanzania Steven Wasira: Siwezi kujibu hisia za watu

    "Hisia ni hisia, mimi siwezi kujibu hisia za watu, wala siwezi kuwazuia kuhisi" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

    Salaam, Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni! Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu? Na nisiporidhika na...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio hili siwezi msahau mchumba wangu Aisha. Aliyemwoa atalaaniwa kabisa

    MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI. Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa wacha. Wakati huo kanikalia..... Alikuwa kachuchumaa akasugua akasugua akasugua... Nlipoanza...
  7. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha rasmi siwezi pambana na changamoto za mwanamke

    nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
  9. JamiiForums Tanzania Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

    Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm.. Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia. Bongo Sina future napo.
  10. JamiiForums Tanzania Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

    Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari. Mimi msela siwezi kwenda jela Na nikienda jela narudi na Mihela.. Naruka tikitaka kulia na kushoto Na mademu wanitaka .... Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
  11. JamiiForums Tanzania Siwezi kuchosha mwiko wangu kwa upishi wa mara moja.

    Wanawake mnahangaika sana sisi Alpha male hatuchovi kila tundu keep this in ur mind. Nimeamua kumkazia huyu Mwanamke mbaya zaidi Ana 30+ Ila anawaza chini tu.
  12. JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ni mtumiaji wa JF

    Wife nishakujua ila endelea kuwapiga pini wanaokuja DMs
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume unawezaje kukataa? Mimi siwezi kukataa!.

    habari wakuu!. wanaume ! kumbe mungu anaakili sana aisee hiyo jana nimejigundua kama ningekuwa mwanamke basi ningeitwa maharage ya mbeya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuthubutu kumshauri rafiki yangu aache ulevi au umalaya kama urafiki wangu na yeye unafaida namwacha alewe tu

    Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu. Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo! Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini siwezi kuwa mwanachama wa ccm

    1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa: Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio nguvu kazi ya taifa, wanakosa ajira, licha ya ahadi nyingi za chama. Sioni juhudi madhubuti za CCM...
  16. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nilikatazwa nisizungumze lakini siwezi kuwatii Watekaji

    Wakuu, Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji. Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza. Msikilize mwenyewe hapo chini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    ...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"...... Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini. Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

    Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia. Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama...
  19. JamiiForums Tanzania Siwezi Kutoka na Mwanaume asiye na Hela!

    WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie: “HAPANA, MIMI NDIYE NIMEFULIA KWA SABABU SIWEZI KUMUHIDI NINACHOTAKA BINAFSI..” MWANAMKE tanguliza...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga. Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote Pang Fung Mi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…