Kuna tatizo kubwa Afrika, Yaani hata kwa kuunganisha Nguvu zetu kwa pamoja kuja na chanjo moja imeshindikana, tunabaki kuwapa pongezi kubwa wazungu kwa kutuletea chanjo.
maisha ya mwafrika yapo mikononi mwa mzungu. Sasa tuna Uhuru gani? Uhuru wa kupandisha bendera na kushusha basi. Uhuru wa...