single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RIHANNA: Sipo tayari kuwa single mother hata kama najitosheleza kulea mwenyewe

    Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake. " Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

    Mughonile Kûna Vijamaa humu vinachekeshaga Sana, unakuta vimekaza mishipa kîla Siku kuponda single mother alafu vyenyewe vipo na Wanawake àmbao hawakuwakuta na Bikila. Chongo hamacheki mwenye kengeza. Demu asiye na bikra na singe mother wàpo kundi Moja. Hamuwezi kuchekana kivile. Wôte mmeuziwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

  4. JamiiForums Tanzania Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

    TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

    Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani. Sababu z kuachana 1. Mlevi kupindukia 2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3 3. Ameoa anaishi na mke kwa siri. 4.
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mama zetu ambao ni single mother hawataki tuoe single mothers?

    Mama zetu ambao wamekuwa single mothers ukitaka akupe laana basi wewe oa single mother Hawataki kabisa usogelee single mother katika MAISHA yako
  7. JamiiForums Tanzania Of God for Mankind: A Single Sentence Constitution for All Intelligent Entities—Men and Machines (II)

    In the era before the dawn of new technologies, mankind advanced at an accelerated pace. Now, technology follows suit, driven by the same innate impulse toward progress. Why? Because it is in the very nature of intelligent beings to advance—first in their intelligence, and consequently in all...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta room single

    Kimara hadi mbezi 50,000 Mwenye anafahamu naomba uni pm
  9. JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers hawajali maneno yenu

    Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi. Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke mbwahuyu hafai kazaa njee ,ila yeye anafuraha anawatoto na wanampa kampani akija home . Mtoto wake anampa...
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mother anatafutwa

    Wasaalam. Kutokana na pigo nililopigwa Leo! Nimebadilisha msimamo. Natafuta mwanamke angalu mwenye mtoto mmoja wasizidi wawili. Hope huyu atakuwa ashapigwa matukio ya kutosha! Na Mimi pia. Utakuwa ni mwanzo wa kupeana pole, Na kuyasahau ya nyuma. Single mothers karibu DM tuyajenge! Ukiwa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi la single mother linatisha

    Ebu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za. Na nyie dada zangu umeamua kuwa single mother nini sababu za kukesha kwenye mitandao na club kutafuta wanaume na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

    Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra. Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
  17. JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

    TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama upo single usitamani ndoa

    Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa, Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera 👋👋👋 Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio maana napinga maisha ya ndoa kwa visa na vitimbi nilivyokumbana navyo Niliteseka sana ku hustle lili...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

    Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra! Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake"...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wanaoenda Gym na Wako Single

    In most cases, hawa watu huwa wananyege sana. Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto. Hii sijui kitaalamu imekaaje....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…