single mama

"Mama Africa" is the fourth single from Akon's second studio album, Konvicted. This song was originally on reggae singer Peter Tosh's 1983 album "Mama Africa." Later the song was remade by Hakim Abdulsamad, frontman of R&B 1980s band The Boys. The single was released to radio stations on May 15, 2007, before being officially released in the United Kingdom on July 30, 2007. The official remix of the track features 50 Cent. The lyrics are written as a homage to Akon's ancestral homeland, Africa. The song peaked at #47 on the UK Singles Chart, his second to do so, the first being "Pot of Gold". The track was B-listed upon its first airplay on BBC Radio 1. The single's artwork was designed by Chris Jarvis. A video for the song was filmed in October 2006, however, due to licensing issues, was not released. The video was later leaked to the internet in February 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo.

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  2. Bacteriophage

    Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  3. Donatila

    Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  4. MamaSamia2025

    Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

    Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo...
  5. BabaMorgan

    Majukumu yanavyofanya watu kujiweka kando na single mama

    Key point ni MAJUKUMU mengine ni minor issues kwa nini wadau wanajiweka mbali na single mother. Kitabu Cha Wasifu wa Malcolm X kinaelezea baada ya baba yake kufariki mama yake alikuwa na mahusiano na mwanaume mweusi kutokea Lansing lakini mahusiano hayakudumu mwamba akasepa sababu kuu ni...
  6. MamaSamia2025

    Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

    Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake. Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto. Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa...
  7. The redemeer

    Kuwa single mama sio ticket ya kukata tamaa

    Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi wengi walioolewa wakiwa sio single mothers. Hii inatoa tafsiri kwamba thamani ya mwanamke bado inabaki...
  8. Hammer11

    Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

  9. dr namugari

    Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

    Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu. Ajabu ni hii...
  10. TheForgotten Genious

    Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

    Wajita Wachaga Wamakonde Waluguru Wanyaturu Warangi Wazaramo Wagogo Wangoni
  11. sky soldier

    Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika Husika na kichwa cha habari, Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
  12. Prince kelly

    Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

    Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na...
  13. phil78

    Mrejesho kuhusu mtu aliyenipenda halafu kanizidi umri

    Jana niliweka uzi wa kuomba ushauri hapa kuhusu mtu alienipenda halafu kanizidi umri, ndugu jamaa na marafiki wakasema yao humu kuna walioniita mjinga, walionitukana na wakanisema vibaya ndgu zangu kwanza naomba mtambue. 1. Mimi sijampenda huyo binti ila yeye ndo alinitafuta na kutaka mahusiano...
  14. Ncha Kali

    Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  15. heartbeats

    Single mama alivyotaka kukatisha uhai wake kwasababu yangu

    off
  16. Napoleone

    Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo

    1. Kwanza hakikisha unacheza sana na mwanaye yaani mwanaye akupende. 2. Usipende kutoka nae viwanja hawapendi maana huwa wanawawaza watoto wao especially kama ana mtoto mdogo. 3. Vi-date vyenu fanyieni "indoor" yaani aje kwako au uende kwake. 4. Hakikisha zawadi kwa sana, za mwanae na zake...
Back
Top Bottom