singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa Kitongoji alieshinda (Chadema) atimuliwa kwenye kikao cha WDC Iramba, Singida

    Waungwana salaam, Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari. Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza maboresho ya Vyoo vya Kituo cha Afya cha Sokoine, Manispaa ya Singida

    Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira mazuri. Uamuzi huo unakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu ubora wa choo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Responded Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

    Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali. Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haijatoa rambirambi kwa wanachadema waliowawa ktk ghasia za Uchaguzi Dsm, Singida, na Songwe?

    ..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe? ..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au washindani wao? https://www.youtube.com/watch?v=FI4sAGtsqNY
  6. T

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mtaa wa Sabasaba Manispaa ya Singida Kutengenezwa

    Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika. Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo. Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: CCM yaibuka na ushindi wa asilimia 99.7 kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Wakuu, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimeibuka na ushindi wa asilimia 99.7 katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa kuwachagua wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji na wajumbe. Katibu Mwenezi wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Singida, Elphas Lwanji akizungumza na waandishi wa habari leo...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

    Wameyatimba, Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars. Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Singida achomwa Kisu na kijana wa CCM akiwa eneo la kupiga kura

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida Mjini, Hamis Nkua, amechomwa kisu katika mkono wa kushoto begani. Akizungumza na Nipashe Digital katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa ya Mkoa wa Singida ,amesema amechomwa kisu leo Novemba 27, 2024 saa 8:00 mchana katika eneo la...
  10. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu atimba Ikungi na kugawa Nakala za viapo kwa Mawakala wa CHADEMA. Suphian Juma wa CCM naye kuwaongoza Wana Ikungi!

    Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu anaendesha seminar ya Mawakala na wanakwenda vizuri Suphian Juma naye yuko Ikungi bampa to bampa...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ikungi Singida: Mzee amtabiria Tundu Lissu kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2025

    "Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya bilioni 10 skimu ya umwagiliaji masimba kunufaisha wakulima 24,000 mkoani Singida

    ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA 📍 NIRC Singida. Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

    Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani? Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Wagombea 148 walioenguliwa Ikungi warejeshwa

    Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na Utulivu. Akziungumza katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi Mkoani Singida...
  16. T

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chuo Kikuu Huria - Singida kiboreshe mazingira yake, ni kama vile kimetelekezwa

    Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani. Pia sehem za kusomea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke uzio katika Shule ya Msingi Minga (Singida), kuna Watu wanawafanyia ukatili Watoto

    Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Ikungi: Tunachunguza tuhuma za Mwalimu wa Shule ya Mandimu (Singida) anayedaiwa kudhalilisha Wanafunzi

    Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule. Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SUWASA yarekebisha mabomba yaliyokuwa yanavuja Singida

    Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya bomba, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza na marekebisho yamefanyika. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) upotevu huu wa maji hadi lini? Hili lishughulikiwe? MAJIBU YA WAZIRI AWESO Mdau; Hili ni bomba la...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
Back
Top Bottom