singeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    Hivi Kuna msanii mkali wa singeli kuzidi kaje double killer huyu 45 anatisha sana

    Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
  2. mwehu ndama

    Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
  3. Damaso

    Ulimbukeni wa Mitandao: Mama Amina na Tafakuri ya Kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala ya majukwaa ya kujifunza na kujenga jamii. Katika siku za hivi karibuni kuna binti anayejulikana...
  4. funaku

    Battle la singeli: Morogoro vs Dar na Malima vs Chalamila

    Hili ndio battle la Singeli lipo viral kwa sasa. Nani ameicheza vizuri? Origin ya Singeli ni mkoa upi?
  5. Muimba SINGELI

    Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

    Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
  6. funaku

    Kama nilivyowahi kusema Singeli ni art ya vinanda

    Kama nilivyowahi kusema Singeli ni art ya vinanda ..hebu cheki watoto walivyoua hapa.
  7. Mnyenz

    Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  8. whitehorse

    Sijawahi kugundua SINGELI ni tamu

    Nimetoka Dodoma hadi naingia Dar njia nzima namsikiliza Dogo Patel yaani jamani singeli tamu 💃💃💃💃
  9. funaku

    Wasanii wa Singeli kutoka Morogoro wanaenda next level

    Wapo vijana ambao hawajapata promo ila wanateleza na beats ,lyrics, na wanaburudisha sana. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
  10. LIKUD

    Nguvu ya muziki wa singeli nchini Tanzania: Dogo Sajent na mwenzake wamemfunika Mario kwenye Singeli version ya kisa salio

    Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original. Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...
  11. The Burning Spear

    Wasukuma wana mziki mzuri sana wa asili kuzidi hata bongo flava ya sasa na singeli.

    Great Thinkers Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania. 1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never 2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
  12. Farolito

    Napinga wazo la Muziki wa Singeli kusambazwa duniani

    Habari, Wiki kadhaa zilizopita alisikika Waziri wa Utamaduni na michezo Profesa Kabudi akisema kwamba serikali kupitia wizara yake ina mpango wa kuupeleka muziki wa singeli Kimataifa. Mimi binafsi napinga na ninakataa wazo hili kwa sababu zifuatazo; 1.Ni muziki unaotumia lugha chafu na unatoa...
  13. funaku

    Ijue Sanaa ya Singeli kuna namba zinatajwa kwenye muziki wa Singeli zina maana gani?

    Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes. Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana gani?? #32 #26 #45 n.k TAHADHARI:UKITAKA KUIELEWA NA KUIPENDA SINGELI SIKILIZA KATIKATI YA MISTARI...
  14. Erythrocyte

    Profesa Kabudi atangaza kusambaza Singeli Dunia Nzima. Atatumia njia gani? Anajua mwenyewe

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania. Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na...
  15. funaku

    Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

    msikilize hapa akiwa na Sholo Mwamba.
  16. K

    Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  17. Huihui2

    Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

    Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa? Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan. Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo...
  18. ELI COHEN

    Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  19. ELI COHEN

    Wamaasai haooo!! Wameshalijua kulicheza singeli 😂😂😂

    Kweli Tanga imeshawabadirisha wamaasai hahah bado wahadzabe😂😂 https://youtu.be/-Mk2nr6Nq7Q?si=8jbLCwgH2Q6Px5xd
  20. Waufukweni

    Bien Sauti Sol: Wasanii wa Tanzania wangewekeza kwenye Singeli kama Amapiano, kushinda Tuzo ya Grammy ingekuwa rahisi sana

    Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy...
Back
Top Bottom