Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua
Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani.
Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...