simu

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

    Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema. Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
  2. JamiiForums Tanzania WIZI WA SIMU

    Habari wakuu! Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash. Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

    Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake mnavyotusevu kwenye simu

    Habari za adhuhuri wapendwa! Leo nidamka mapema kwa shughuli zangu za hapa na pale, nikaingia kwenye gari siunajua tena purukushani za hapa na pale nikapata siti eeee bana we! Siti mbili mbele mdada mmoja kajitandazi kwenye siti kajaa vilivyo akanyanyua simu yake nikaona sms profile yake kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

    Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano. Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education. Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuumbuka kwenye simu baada ya kuongea na mtu nakusahau kukata simu

    Mi niliongea na msichana wangu mmoja tulivyomaliza kumbe sikukata nikabaki nawambia washikaji kwamba huyu msichana simpendi anajipendekeza kwanza hajui mapenzi, kumbe yeye yote aliyasikia kesho yake ilikua kizaazaa.
  7. JamiiForums Tanzania Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

    Nimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi; ======= Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili udumu na huyo uliyeingia naye kwenye ndoa, mjengee imani kuwa wewe ni wake na haitatokea siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…