Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha 5G Halotel ni Matapeli nazima Line yao nimejaribu kuzima Line nyingine ili nisiisumbue.
Habari wadau wa Technologia natumai mko poa
Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale .
Ila naona unagoma.
Kazi...
Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana.
Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa.
Sometimes she forget that...
Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi,
Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa
Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake
Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri...
Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita.
Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please
Asanteni
Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza.
Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote.
Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida.
Tatizo linaweza kua Ni Nini?
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi..
Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..?
Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1
Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake
Ninashida na 180k tu
Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka...
Ndugu wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya ijumaa muda wa saa nane dakika ishirini za mchana nilipokea ujumbe kutoka airtel wakinishukuru kwa kutembelea duka lao huduma za kwa wateja na wakanitumia kumbkumbu ya kuonyesha malalamiko nilyolipoti ofisini kwao. Ili hali mimi sikuwa...
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,
Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.