Innocent "Namcos" Simiyu (born 24 April 1983) is a former Kenyan rugby union player who captained the Kenya national rugby union team and the national rugby sevens team. In the World Rugby Sevens Series, Simiyu has represented Kenya in 121 matches scoring 321 points. At club level he played for Impala Saracens and Kenya Harlequin.
On 17 October 2016, he was appointed as head coach of the Kenya national rugby sevens team on a two year contract and replacing Benjamin Ayimba.Simiyu is a brother to former Kenya national rugby union players Victor Sudi and Nato Simiyu.
Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Shemsa Mohamed, wametakiwa kutumia busara, uadilifu na uzalendo katika kufanya teuzi za awali kwa watia nia ya ubunge na udiwani, huku wakionya dhidi ya vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kushamiri...
Watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Simiyu huenda wakakosa kurejeshewa majina yao kwenye mchakato wa kuteuliwa, kufuatia tuhuma za matumizi ya fedha kwa ajili ya kushawishi wajumbe na kufanya mikutano isiyo rasmi na madalali wa kisiasa.
Taarifa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu, Njalu D. Silanga amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Itilima jiioni ya leo June 28, 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
RC Kihongosi akiwa RC Simiyu amelaumiwa sana na wananchi kwa kutumia muda mwingi kufanya siasa za sanaa za kurekodi clip na kumtumia Mh. Rais kwamba anafanya kazi nzuri ya kuwasaidia wananchi.
RC Kihongosi amelaumiwa sana kwa kuua zao la pamba kwa kushirikiana na Waziri wa Kilimo Bashe kwa...
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani shilingi bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote 474 vya Mkoa wa Simiyu.
Kapinga ameyasema hayo leo Juni 18, 2025 wakati akitoa tathmini ya hali ya upatikanaji wa umeme Mkoa wa Simiyu...
Wakuu
Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.
Sijui watashughulikiwa vipi, sad.
===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, bali wanamhisi anawadai wao na wamejipanga kuhakikisha...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.
Kabla ya kufika...
Rais Samia akiendelea na ziara Kanda ya Ziwa jana Juni 16, 20225 amezindua shule ya Wasichana Simiyu, mradi uliogharimu Billioni 4.45 hadi sasa imetumika Billioni 4,159,942,035.37 ikiwa ni majengo 22 ya darasa, Jengo la utawala, maabara 4, nyumba 5 za walimu, Chumba cha Tehama, Chumba cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea mradi wa nishati safi ya kupikia wa shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo na kupewa maelezo na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga wakati akifungua shule hiyo leo tarehe 16...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko mbioni kujenga shule maalumu ya wavulana kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, ambapo ujenzi huo utafanyika mkoani Simiyu.
Samia ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Juni 16, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo mara baada ya kuzindua rasmi shule ya...
GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu na vifaa tiba.
Waziri Mhagama amesema hayo alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simuyu kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
awasili
furaha
jijini mwanza
maelfu
mapokezi
mbona
mkoani
mwanza
oktoba
oktoba tunatiki
rais
rais samia
samia
simiyu
tabasamu
tube
video
wananchi
wenye
you tube
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
Katika tukio la kipekee linalodhihirisha mapenzi ya wananchi kwa viongozi wao, wakazi wa Mkoa wa Simiyu wamejitokeza kwa wingi kuonyesha furaha na bashasha kuelekea ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inayotarajiwa kuanza tarehe 15 Juni, 2025.
Wananchi hao wameonyesha utayari wa...
SHEMSA MOHAMED: CCM TUPO SIMIYU KUHAKIKISHA SERIKALI INATEKELEZA MAJUKUMU KWA WAKATI
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali kutoka Mkoa wa Simiyu, tarehe 4 Juni 2025 wamefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Busega kwa lengo la kusikiliza, kushughulikia na kutatua kero za wananchi...