Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya kiuhalifu...