simba

  1. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu

    ... 🚨 π—–π—’π—‘π—™π—œπ—₯π— π—˜π—— Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri. Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo litafungwa leo usiku. Tayari klabu hizo mbili zimefikia hatua nzuri katika makubaliano yao kuhusu usajili...
  2. JamiiForums Tanzania Awesu Awesu kuitumikia Simba rasmi

    ➑️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi. βœ… Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil. Klabu ya KMC FC inapenda kuwataarifu wanakinondoni na wadau wa Soka nchini kwamba tumefikia makubaliano ya uhamisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

    Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga. Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
  4. JamiiForums Tanzania Simba wameiga idea ya Wiki ya Mwananchi

    Kuweka mambo sawa ni kwamba Simba ndiyo waanzilishi wa siku ya club yao (Simba day). Yanga wakaja na Wiki ya Mwananchi ambayo inajumuisha matukio mbalimbali kwa muda wa wiki nzima nakuhitimishwa na kilele chake katika Siku ya Mwananchi (Yanga day). Dalali alianzisha Simba day na iliadhimishwa...
  5. JamiiForums Tanzania TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka

    Simba umeshindwa kesi ya Awesu. Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu. Simba walimpeleka Awesu Egypt pre season Simba walimtambulisha Awesu Simba day. Awesu alivaa jezi ya Simba na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba, yanga watimba Zanzibar kunogesha tamasha la kizimkazi

    Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC haipo sawa mashabiki jiandaeni

    Kuna sehemu Simba haipo sawa tena kwenye uongozi wa juu,wale wawili hawaelewani Mangungu na Mo Dewji haziivi kabisa,hata ukiangalia kwenye Simba day hawakuongea kabisa,viongozi hawaelewani hata kidogo. Nimeamka nimekutana na habari za moto moto Awesu Awesu ni mchezaji wa KMC FC. Simba walipitia...
  8. JamiiForums Tanzania Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

    Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba πŸ‡¨πŸ‡² β—‰ 02 - Years deal (Tsh 523 million) β—‰ 16 - Games premier league 23 | 24 β—‰ 01 - Goal scored. β—‰ 03 - Assist Kibu Denis Prosper πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β—‰ 02 - Years deal (Tsh 300 million) β—‰ 26 - Games premier league 23 | 24 β—‰ 01 - Goal scored. β—‰ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  10. JamiiForums Tanzania Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC inakwenda kuwanyamazisha wengi

    Nimeiangalia Simba sc kwa utulivu, ikicheza mechi zake tatu zilizooneshwa. Nikiri wazi kuwa Simba imebadirika na inacheza mpira mkubwa tofauti na mpira uliokua ukichezwa na kina babacar sarr, kina kanoute n.k (hapa mashabiki maandazi na mashabiki wa ile timu inayorukaga mageti ili ipate access...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

    Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu. Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu. Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Elvis Kamsoba ni mshambuliaji mrundi kamili wa kutatua matatizo ndani ya Simba

    Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida. Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian Kimti, mshambuliaji ambaye alileta changamoto kubwa enzi zile hasa kuhusu uraia wake hadi akafanikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  15. JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Simba wanaenda kusajili tapeli jingine! Sad

    Wakuu Hii klabu haiishiwi vituko kwa kweli Baada ya kupoteza pesa kucheza misri na madereva taxi na kurudi kukalia bomba la yanga huku wakijitapa kuwa "wamekalia kimoja tu" Sasa wameona rasta Freddy the snake boy hatoshi na mwenzie yule Steve Mukwala pia Then wamemua kusajili garasa la ki...
  17. JamiiForums Tanzania Simba kabla ya kuanza kujua ubora wa kikosi chenu Fukuzeni kocha Fadlu David. Huyu ata aje Messi na Mbape hatutoboi

    Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu. Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na Compan na Arteta kwa Kushusha timu daraja na kutoka kuwa asistant. Mfatilieni Fadlu David kawa kocha...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

    Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?! Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo...
  20. JamiiForums Tanzania Ofisi za Makao Makuu ya Simba

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…