Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...