simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba tusipobadilika ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali na huyu kocha aambiwe

    SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao. Mimi niwashauri wanapocheza away au na timu yenye vijana wengi wamchezeshe LWANGA + KANOUTE PAMOJA UPANDE wa Tshabalala akae...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

    Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
  3. JamiiForums Tanzania Chama wa Simba SC ameitwa Timu ya Taifa ya Zambia; Je, akina Mayele na Bangala nao wameitwa Timu ya Taifa ya Congo DR?

    Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
  4. JamiiForums Tanzania Salim Abdalla " Try Again" Acha Kuihujum Simba

    Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi ya Asec kilianzia hapo. Twende taratibu. Kwa mujibu wa KANUNI za TFF kila Klabu nchini...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Simba ifanye nini kuishinda USG

    Kwa kuangalia analysis na game plan ya mchezo kati ya Asec vs Simba Coach Pablo alifeli sana katika mipango. Alijisahau kuitizama asec wakiwa na mpira wanakuwa na kasi ya ajabu huku sisi wachezaj wetu ni wazito sana. Kwanza ilibidi aanze na Viungo wa kukaba wawili LWANGA+MZAMIRU ili kuipa nguvu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

    Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa staili hii Simba hatuwezi kuchukua kombe la Caf

    Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda. Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
  8. JamiiForums Tanzania Namna za 4 Simba kufuzu robo fainali

    HALI ILIVYO ASEC 9 BERKANE 7 SIMBA 7 USGN 5 SIMBA IKISHINDA NA BERKANE AKISHINDA ASEC 9 BERKANE 10 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKAFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA AIKITOA SARE BERKANE AKIFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 8 USGN 6 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKITOA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba ikifungwa kelele huwa kidogo mitaani hapa nchini?

    Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec. Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo? Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Simba yapoteza kwa Asec Mimosa, lakini kuna fundisho kwa wasio na uzoefu

    Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita. Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero! Simba...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  12. JamiiForums Tanzania Simba Sc yaongoza kutazamwa Afrika

    Kwa mujibu wa CAF, Simba imekuwa ndio klabu inayotazamwa kwa wingi na mashabiki kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za CAF, ikiwamo Youtube (CAF TV) kulinganisha na timu nyingine kongwe Afrika na ikifuatiwa na Al Ahly ya Misri. . Rekodi zinaonyesha pambano lililotazamwa zaidi ni lile la Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Simba mechi zilizosalia 2021/22, ikiwemo mtanange dhidi ya Yanga

    Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). ⚽Asec Mimosas vs Simba 📅 20 March 2022 🏟 General Mathieu Kerekou Benin. ⏰ 19hrs ⚽Polisi TZ...
  14. JamiiForums Tanzania Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

    Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro. Huu sasa ni uhuni.
  15. JamiiForums Tanzania Simba acheni Ubahili. Mmezidi kujifanya wajuaji...

    Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri. Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie. GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania. Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mo Dewji, Simba SC? Tanzania hamkuona post yangu mwezi uliopita kuhusu ubora wa Simba duniani?

    Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa Jangwani. Sasa in a span of 4 days mwandishi wa Ghana, Micky JR kapost hiyo issue ikapokelewa na...
  19. JamiiForums Tanzania CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  20. JamiiForums Tanzania Mtazame mzee Hassan Dalali baada ya kupata ajali ya bodaboda, Simba yatoa tamko

    Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam. Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…