Simba acheni Ubahili. Mmezidi kujifanya wajuaji...

Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.

Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Kwani bado kuna watu wanasoma Magazeti au mkiwaandika wapi?
 
Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.

Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Endeleeni kushobokea hivyo vizawadi vidogovidogo , ipo siku mtavilipa kwa jasho na damu.
 
Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.

Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Darasa la tatu C
 
Simba haihitaji vipeperushi km Champion, sport Xtra, mwanasport kujitangaza Africa,.

Mechi zake na akina Al Ahly, Asec Mimosas, RsBerkane zinatosha Afrika na dunia kuijua SIMBA, bila kusahau matokeo chanya uwanjani.

Wakati mwingine Matangazo yakizidi shtuka jua hiyo bidhaa Ni mbovu.

Bahati mbaya Sana GSM anajitangaza yy lkn si Yanga,anaitumia Yanga kwenda mbali kibiashara.Yanga inaambulia makombo tu.

Kwenye jezi moja Utopolo wanalipwa sh.elfu moja tu.Na mazuzu hyashtuki. Can't anawaibia halafu hela hizo hizo kiasi kiduchu anawasaidia. Hersi na yule Msukule ndiyo wapiga zumari.
 
UDUMAVU ...huu ugonjwa wavibahasha serikali ndo imewasababishia Simba ijikodie ndege yenyewe kwenda Niger na Morocco igaramie igharamie malazi kwawachezaji irudi ijiandae icheze ishinde. ...bado hujaona chakuandika unataka uitwe upewe 20000 alf ili uripoti au uandike habari
 
Simba haihitaji vipeperushi km Champion, sport Xtra, mwanasport kujitangaza Africa,.

Mechi zake na akina Al Ahly, Asec Mimosas, RsBerkane zinatosha Afrika na dunia kuijua SIMBA, bila kusahau matokeo chanya uwanjani...
Mkuu , ulishaambiwa kule utopoloni wenye unafuu wa kiakili ni wawili tu. Hawa wengine ni hamnazo . Sasa unategemea aandike nini cha Maana zaidi ya uharo kama huo?
 
Tusifiwe ili iweje, hatutaki, timu yetu inajipambanua yenyewe! Full stop
 
Back
Top Bottom