simba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

    jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi huyu kweli alikuwa ni mchezaji wa Simba au ni Photoshop?

    Wanasema huyu alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Simba au wametengeneza? Hapa mimi namwona msaani wa Bongofleva!
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya Simba na somo la Unyenyekevu

    Hakuna kinacho dumu milele. Haijalishi ataishi kwa muda gani, Simba Mkuu hatimaye atakufa vibaya. Hiyo ndiyo dunia. Katika ujana wao, wanatawala, wanafukuza wanyama wengine, wanakamata, wanakula, wanameza na kuacha makombo yao kwa fisi. Lakini umri huja haraka siku hazigandi. Mzee Simba hawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Simba: Benard Morisson atapata release letter yake

    Msemaji wa Simba amempongeza Benard Morisson kwa kupata kandarasi mpya na kusema hakuna shida. Ahmed Ally amemshukuru Morisson kwa kutumikia Simba kwa miaka miwili na kudai hamna haja ya janja janja, waende na Simba itawapa release letter.
  5. JamiiForums Tanzania Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

    Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba. Mwenye Nguvu mpishe tu. Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita. Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

    Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana Gwiji hilo pia katika kuitetea...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club Kuweni na mkakati wakuakikisha mnasajili wachezaji wakali!

    Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
  8. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

    Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara. Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
  9. JamiiForums Tanzania CEO wa Simba na Morrison nani anasema ukweli?

    CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO. Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha...
  10. JamiiForums Tanzania Hatimaye wenye Simba SC yao ( Wazee wa Fitna na Umafia ) wamerejea rasmi Kuirudisha Simba SC tuliyoizoea

    CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa huwezi kuwa na Mafanikio kama utawaweka pembeni Wazee wa Kazi Chafu na Umafia kwa Soka la Tanzania (...
  11. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mghana Kwesi Appiah ndiyo alikuwa sahihi kuwa Kocha Mpya wa Simba SC kuliko huyu Mzungu wenu ambaye najua hatodumu

    Kwesi Appiah ni.... 1. Mwafrika Mwenzetu 2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni ) 3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC 4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno 5. Angekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

    Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno. Tusubiri hapa mbivu na mbichi === Confirmed Zoran ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 🦁 Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic...
  13. JamiiForums Tanzania Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

    Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. "Hii ni kutokana na nyinyi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Uimara na Kasoro Kubwa za Klabu ya Simba

    Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe. Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita: Fun base kubwa – idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi. Wapenzi walio tayari zaidi kusupport...
  15. JamiiForums Tanzania Acheni kutupotezea muda na wenye kujua nini kinaendelea ndani ya Simba SC tunajua kuwa hata mwakani Timu itafanya vibaya tu

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu. Chanzo: Darmpya Blog Huu Msamaha wenu utapokelewa na wana Simba SC wa hovyo, ila kwa wengine tunaona mnazidi...
  16. JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mkiimba kuwa Simba SC ya Matola haifungwi na apewe Timu tuendelee Kuimba au?

    Aliyesema (aliyetuita) wana Simba SC ni Mbumbumbu wala hakukosea. Na tunastahili kuitwa Mambumbumbu. Eti Matola apewe Timu. Asanteni sana Prisons FC na Simba SC tafadhali mpeni Timu Moja kwa Moja Kocha Mnafiki na mwana Yanga SC sawa? Hivi Yanga SC leo hii pamoja na Mafanikio yake Kocha Minziro...
  17. JamiiForums Tanzania Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

    Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM
  18. JamiiForums Tanzania Simba mjitahidi kumtafuta mbadala wa Shabalala na sio Gadiel Maiko

    Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye namba ya Shabalala, ni vyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba. Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tu iliekeweke kwani Shabalala naye ni...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi "chekechea" Jwaneng Gallaxy alivyokatisha ndoto za "giant" simba kwa Mkapa

    JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo...
  20. JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

    Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke. Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison. Chanzo: Darmpya Blog Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…