simba

  1. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yatakiwa kuheshimu na kuacha kubagua vyombo vya habari

    Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya habari. Hayo yamejili jana katika uwanja wa Benjamini Mkapa, lilipokuwa likiendeshwa zoezi la...
  2. JamiiForums Tanzania Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

    Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili. Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli? Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO. Kuna shida...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

    Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
  4. JamiiForums Tanzania Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

    Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK...
  5. JamiiForums Tanzania Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili. Yanga is next after...
  6. JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

    Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

    Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ila kila...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
  9. JamiiForums Tanzania ccm na mirangi rangi Yao (njano, white Red) imefanya niichukue Yanga na Simba

    Nashindwa kuwachukia watu Kwa sabab ya humanity...Ni hayo tu na Uzi tayari
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa. Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we are unstoppable.
  11. JamiiForums Tanzania VIPERS WALITARAJIA WANAKUJA KUCHEZA NA SIMBA TANZANIA NA SIO YANGA!

    Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na sio timu kama Yanga ambayo hata robo fainili Caf hawaijui! Kinachoibeba Simba ni uzoefu wa kimataifa...
  12. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
  13. JamiiForums Tanzania Yah: Ombi la tenda ya Kubandua nembo kwenye jezi za Simba

    Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu. Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili tuweke nembo ya mdhamini wa B26 zenye utata. Mods msifute Uzi huu mpaka mtani wangu Barbra ausome...
  14. JamiiForums Tanzania Simba SC Ole wenu Mumsainishe huyo Mzungu 'Mserbia' badala ya Manzoki nitatoa sasa SIRI za ndani za Klabu na mtatafutana na Kuumbuka

    Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki. Naandaa sasa Nondo zangu za SIRI za Ndani kabisa juu ya yanayoendelea ndani ya Simba SC na yaliyopita hadi...
  15. JamiiForums Tanzania Leo Simba SC 'Wamenivuruga' naombeni kujua 'Kick Off' ya Mechi ya Yanga SC na Vipers FC ni Saa ngapi?

    GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya hawana, hawajui Mpira na hata Mechi zao zote za Pre Season wamecheza na Wapishi na Wachezaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania VITA YA UKRAINE VS JEZI ZA SIMBA

    Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
  17. JamiiForums Tanzania Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

    Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya Ethiopia, kwenye Uwanja wa Mkapa, Jumatatu Agosti 8, 2022. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilicho nyuma ya Kauli Mbiu mpya ya Simba SC isemayo We are Unstoppable

    Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'anatukanwa' mno na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila hana jinsi

    Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally. Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally yuko very normal ila ukweli ni kwamba ana Maumivu makubwa Moyoni hasa la Kutukanwa mara kwa mara na...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…