simba

  1. T

    JamiiForums Tanzania SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

    Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba nawasifu kwa kujua kutunza siri

    Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea. Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa. Yule mzungu pori ndio alikuwa akivujisha siri za chumbani
  4. JamiiForums Tanzania Coastal Union yatoa tamko kuwa haina mkataba na Kocha Mgunda

    Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda. Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022

    Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Simba "Hatukamatiki, Hatushikiki" haina uhalisia kabisa, bora "Byuti Byuti," Yanga waliona mbali sana

    Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa Simba hawajaumizwa na matokeo bali wanaumizwa na timu inavyocheza

    Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani. Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana wanayo, usajili waliofanya kmc na walioufanya simba auendani na uhalisia wakiwa uwanjani. Kufungwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

    Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali kama Matola ni Kocha Msaidizi wa kudumu, mtueleze sisi mashabiki

    Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine? Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
  10. JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

  11. N

    JamiiForums Tanzania BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

    BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

    Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa. Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wale wana Simba SC tuliomchoka CEO Barbara Gonzalez na Upuuzi wake tujuane ili Kesho tukaiteke Timu tumpe Mzee Bakhressa tupumzike na Kero

    Andika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu. Imetosha sasa. Nina hasira sana!!!!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

    Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae. Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe...
  16. JamiiForums Tanzania Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

    Klabu ya Simba imeachana na kocha wake mkuu Zoran Maki, akiwa ameifundisha timu hiyo kwa siku 67 pekee. Awali Zoran aliingia mkataba wa mwaka mmoja na Simba ambapo leo wamefikia makubaliano ya pamoja kuvunja mkataba huo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Babra Gonzalez. Vilevile Simba...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Mhe. Ismail Aden Rage kuwaomba mashabiki wa Simba msamaha

    Kwa heshima na taadhima naomba huyu Mheshimiwa ajitokeze hadharani kuwaomba mashabiki msamaha kwa kuwaita mbumbumbu wakati alipokuwa kiongozi mkubwa tu wa Simba Sports Club. Ni vizuri akalifanya jambo hili wakati bado akiwa hai. Hata kama alighadhabika kiasi gani, bado hakutakiwa kuwaita...
  18. JamiiForums Tanzania Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

  19. JamiiForums Tanzania WOTE HAWA WAMEWAHI KUIFUNGA SIMBA

    Kwa mfano Simba na Yanga Oktoba saba apige MORRISON, nane ZAWADI MAUYA, tisa FEITOTO, kumi MAYELE, kumi na moja AZIZ KII WOOOTE hawa WAMEIFUNGA SIMBA kwa nyakati tofauti
  20. JamiiForums Tanzania Simba yafungwa 1-0 na AS Arta Solar (timu ya kina Alex Song, Kalou)

    Simba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar kwa kufungwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Septemba 3, 2022. Licha ya kutawala mchezo huo kwa muda mwingi Simba iliruhusu goli hilo katika dakika ya 88. Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa #Simba kujiandaa na Ligi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…