simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club kazi mnayo

    Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana. 3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo...
  2. JamiiForums Tanzania Mzungu wa Simba tumepigwa na kitu kizito kichwani

    Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

    Mchezo ni saa 2 usiku Lineup ya Simba
  4. JamiiForums Tanzania Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

    Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote...
  5. JamiiForums Tanzania Ghana: Auawa kwa kushambuliwa na Simba akidaiwa kutaka kuiba watoto wa Simba

    Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tshabalala abadilike, Simba mlijue hili mapema

    Tshabalala anashida moja mzuri kuattack likija suala la kujilinda ni uchochoro. Akicheza na winga sio wa kurudi kuja kumsaidia tutaumia sana mechi za CAF Quattara mzuri wanasimba wasiwe na shaka naye ajirekebishe tu kwenye pace ni mzito fulani Goli la Jana na KOTOKO walitegeana yeye na...
  7. JamiiForums Tanzania Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

    Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango.. Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa.. Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
  8. JamiiForums Tanzania FT: Asante Kotoko 2 - 4 Simba Sports Club

    Mechi ni saa 2 usiku muda huu kwa saa za huko bongo Line up ya simba Lineup ya Asante Kotoko
  9. JamiiForums Tanzania Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

    Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
  10. JamiiForums Tanzania Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

    Hivi mtafanya siri mpaka lini?
  11. JamiiForums Tanzania Simba Queens ni mfano wa kuigwa namna taasisi imara inavyoendeshwa kwenye mpira!

    Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa. Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
  12. JamiiForums Tanzania Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

    Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
  13. JamiiForums Tanzania Manzoki aiaga rasmi klabu ya Vippers, anaelekea Nchini China kujiunga na klabu ya Dallian FC. Juhidi za simba kuinasa saini yake zagonga ukuta

    Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege apate kazi shirika la ndege halafu mtegemee baada ya miezi minne aanze kuendesha mabasi ya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  16. JamiiForums Tanzania Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

    Hakika wanastahili sijui zawadi gani lakin uongozi was Simba angalieni lakini iwe fundisho kwa club ya simbamen
  17. JamiiForums Tanzania Simba Queens yatinga Fainali kibabe,yaua 5-1

    Simba Nguvu Moja. Tunaomba radhi kwa kuruhusu hilo goli 1. Toka mashindano yaanze leo ndio tumeruhusu goli
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nani atadaka mechi za Simba huko Sudan? Msituaibishe jamani Afrika itatucheka

    wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz? Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC nashauri hizi Mechi zenu tatu za Kirafiki za Kipaumbele kiwe ni Kujiimarisha Kiufundi, Kujifunza na siyo Kushinda

    Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan. Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
  20. JamiiForums Tanzania Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

    Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…