simba vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Jesca Magufuli: Hayati Magufuli hakuwahi kuhudhuria harusi za watoto wake, aliacha harusi ya kaka akaenda kuangalia mechi ya Simba Vs Yanga

    Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja. Anasema hawakumshangaa kwani hata harusi yangu haikuwa na sherehe kabisa, walitoka kanisani wakaenda kunywa soda, wakarudi nyumbani Mama...
  2. Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

    Hivi game ya tarehe 1 march 2026 Yanga na Simba uawanja wa Aman Zanzibar unafikiri au unahisi nani anaenda kuibuka mahindi siku hiyo? 🙆🏾‍♂️
  3. Mmoja auawa kwa kisu kwenye Mabishano ya Simba Vs Yanga Mbozi-Songwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa taarifa ya tukio la mauaji lililotokea mnamo tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2025 saa 12:50 jioni katika Kitongoji cha Ululu, Kijiji na Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe. Katika tukio hilo, Evaristo Zabroni Mwambogolo, mwenye umri wa miaka 28...
  4. Jezi ya Simba vs Yanga

    Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA? SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe. Ila wajumbe siyo watu wazuri katika...
  5. Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025

    Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025 Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2) Pendekezo bora: X (Draw) au X1 (Yanga au sare) Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao. Double...
  6. Simba vs Yanga kutamatika kwa sare

    Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara 5 na simba akishinda mara 3. Utabiri wangu kuelekea mchezo nimchezo usiotarajiwa na magoli mengi...
  7. Nina uhakika Kikwete, Mpango na Nchemba wasingejiweka wazi wao ni wana Yanga SC tusingefika hapa

    99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao. GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika...
  8. Kesi imeshakuwa ngumu, aliyempelekea chai mshitakiwa mahabusu, nae Kawekwa Ndani. Simba Vs Yanga

    Simba mapema ameshapost cover Instagram kuwa tarehe ya Darby imetangazwa, YANGA haja post je Viongozi wa Yanga wataleta timu uwanjani. #UbayaUbwela
  9. Mechi ya Simba vs Yanga kupigwa Mei 10, 2025

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya kweli. Tazama hapa ==== Taarifa rasmi
  10. Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  11. M

    Je, ikitokea Simba amemaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga nafasi ya pili na imebakia mechi moja ya Simba vs Yanga, Je Yanga mtakaa kucheza?

    Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli? Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
  12. Msigwa: Serikali: Hatuna Mamlaka ya Kuingilia Masuala ya Michezo, tunasubiri TFF kupanga tarehe mpya ya Simba vs Yanga

    Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine...
  13. Bodi ya Ligi: Tiketi za Simba Vs Yanga zitatumika tarehe itakayopangwa

    Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena. “Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
  14. Mazoezi ya nusu saa yahairisha mechi ya Simba vs Yanga

    Leo 18:50hrs 08/03/2025 Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
  15. Mtani wetu Simba, hii Derby haina kipengele labda ukilete wewe. Kuna Azam walikijua mapema

    Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku. Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea...
  16. Hiki hapa Kikosi muunganiko (combined XI) Yanga vs Simba kwa kuzingatia form na balance!

    Wakuu Bado saa kadhaa kuelekea Kariakoo Derby! Mechi ya miamba wa soka la Tanzania (Yanga SC vs Simba SC) inakaribia, na Hans Rafael mchambuzi wa Soka ametengeneza muunganiko wa kikosi cha kwanza kwa kuzingatia form na balance kuelekea mtanange huo. Hans Rafael - Crown FM Naomba kuona...
  17. Leo ndio ile siku members humu wanagombea kuanzisha uzi wa Simba Vs Yanga

    Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣 Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
  18. Maono: Yanga SC anashinda kwa kishindo tena

    Hayaa ni maono niliyoshushiwa Mimi mwehu, katika njozi na wenye mamlaka ya DUNIA kuhusu mchezo wa tarehe 8 march 2025, baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc. Nami kwa unyenyekevu mkubwa nayaleta kwenu enyi wakuu!! Katika maono haya, wachezaji wa bwanyenye Mo dewj, wanaonekana ni wenye hofu kuu...
  19. Refa wa mechi ya Simba na Yanga ya Machi 8, 2025 ajipange, sisi Yanga hauwezi kuvulimilia huu ujinga unaoendelea

    Hatuchoki. HATUUVUMILII. Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba. Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi. Ujinga wa redkad za ajabu Mhe. Karia YANGA hatuubebi. Tukutane tar 8 machi, 2025.
  20. PreGE2025 Faris Buruhani Aongoza Bonanza la Mtani wa Jadi, SIMBA vs YANGA Kata ya Nyakibimbili

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi Lyamahoro, katika kata ya Nyakibimbili. Ndugu Faris, amelitumia Bonanza hilo kuwashukuru wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…