Tusubiri kuona Wallace Karia akikikimbia kiti alichokikalia maana yeye na Bodi ya Ligi ndio kalitengeneza bomu sasa wanawatimua Mnguto na Kasongo,na yeye Wallace ajitimue pia sasa vipi Mwana FA nae atamtimua kwenye nafasi yake au itakuaje atajiuzuru?
Simba watagomea kucheza June 25 kweli km...