SIKU MOJA NA KHALID ABEID MCHEZAJI WA SUNDERLAND, SIMBA NA TIMU YA TAIFA
Huwezi kuchoka kumsikiliza Khalid Abeid mchezaji wa Sunderland mwishoni mwa miaka ya 1960 na mwanzoni mwa 1970 baada ya Sunderland kuwa Simba.
Mimi na Khalid Abeid tuna ndoto ya muda mrefu ya kuandika kitabu chake katika...