simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: MO Dewji na Mangungu washikana mikono kwa mara ya kwanza

    Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono. Soma Pia: Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Manula Simba sc inatengeneza mazingira magumu ya ufanyaji kazi kwa Camara

    Hapo vip! Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba. Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga, Simba na Azam kununua goli milioni 5 ili kuipa hamasa Taifa Stars

    Kauli hii imezungumzwa na Msemaji wa Yanga Ali Kamwe kwa niaba ya wasemaji wengine “Sisi ambao ni vilabu na ambao ndiyo wanufaika sisi Yanga, wenzetu Simba na Azam inatakiwa tumsapoti mama kwa kununua goli ili kuipa hamasa Taifa Stars.” “Masharti ya kupata pesa hizo ni kila goli tutanunua kwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

    Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

  6. U

    JamiiForums Tanzania Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Sisi wanasimba tunajivunia sana kocha wetu huyu Fadlu Davids. Tunaomba uongozi umuache aendelee kukinoa kikosi chetu kwani tuna Imani naye. Mwaka huu ubingwa ni wetu msimbazi. Naomba kuwasilisha
  7. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Habari wapenzi wa soccer. Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema azungumzia matukio ya utekaji na Wamaasai kuondolewa Ngorongoro; Atamani Simba na Yanga zisingekuwepo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge. Huwezi kuwa na bunge ambalo...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania John Bocco kwa umri wako wa miaka 35, ukivunjika kupona nchini ni ngumu, timu yako haiwezi kukupeleka nje ya nchi kutibiwa, ungepumzika tu

    Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima. Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Simba na Yanga kuja na wazo moja na kujenga uwanja wakatumia pamoja zinatia aibu

    Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja . Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu . Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
  11. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  12. Labani og

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 niliyoyaona Simba ikiiangamiza Fountain Gate leo

    1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia 2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Baada ya Azam kuondolewa CAFC, kituo kinachofwata msimbazi Simba mjiandae

    Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika Mashabiki mjiandae kisaikolojia. Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
  16. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

    Match Day. ⏰ 16:00hrs #nguvumoja# Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Fountain Gates Kinachoanza.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi tunaomba Simba awe anacheza mara 2 kwa wiki ili kutuondoa kwenye upweke wa burudani

    Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, wachezaji gani wa Simba wanaweza penya 11 ya Yanga?

    Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuna mchezaji wa kumuweka benchi Mzize? Nani ana hata robo ya profile ya Mzize?

    1. Tuwe wa kweli, Simba pale nani ana profile kama Mzize? Sio simba tu hata azam fc nani? Hamna 2. ligi nzima nani? Amna. Mzize ni bonge moja la mchezaji, ni yanga tu ina alot of stars. Na bado mzize anapata number. Hivi mnajua kupata number yanga ni kazi kweli kweli. Also 3. Simba nani...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimewatia wadhamini timu za Simba SC na Yanga SC

    Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais Samia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la...
Back
Top Bottom