Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Instagram ya timu ya Simba sports club wameandika kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa kitita cha Millioni 15 kama zawadi kwa mabao matatu waliyofunga timu ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatini
"Asante Mhe. Rais...
Klabu ya Simba SC imepata heshima kubwa baada ya kutajwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kuwania Tuzo ya Timu Bora (Club of the Year) kwa mwaka 2025. Tuzo hii inatambua klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya kimataifa na ndani ya bara.
Simba SC itashindana katika mchujo wa timu 10...
Wakuu
I salute you kinsmen
Kiukweli Simba wamefanya utoto mkubwa sana kugoma kuhudhuriq shughuli iliyoandaliwa na Rais wa African club association ACA na mjumbe ilipo kamati kuu tendaji ya FIFA. Ambaye sote tunamjua ni Hersi.
Sasa shirikisho hili la Africa nzima ikiwemo Simba ipo chini ya...
Wakuu,
Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni
M - Maandamano
O - October
29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe!
Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano...
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Hemed Suleiman, anayejulikana zaidi kama Morocco, kuwa Kocha wa muda (Caretaker) kwa mechi za Kimataifa. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kusitisha mkataba wake, huku Kocha Selemani Matola akikosa nafasi kutokana na kadi nyekundu aliyopewa...
Wakuu habari.
Moja ya shida kubwa inatugharimu sisi wanazi wa Simba kukosa furaha na timu yetu kutoeleweka ni kutokana mambo ya kuendekeza ushikaji na huruma za kipuuzi. Mfano zaidi ya misimu minne timu haijawahi kufanya usafi wa uongozi pale juu ,matokeo yake tunaenda na mbinu na mikakati ile...
Huku Maloid kule Jonathan Sowah..
Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki...
Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga?
Yanga inacheza Kitimu Simba kizembe.
Baada ya kumalizana na mchezo wa Ngao ya Jamii, vikosi vya Simba na Yanga, vimeanza safari kuelekea kwenye michezo yao ya Kimataifa katika nchi tofauti.
Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo Jumatano Septemba 17, 2025 Dar es Salaam kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Kwanza...
Ili uweze kushinda Mataji ni lazima uwe na mbinu za kumfunga mpinzani wako mkuu unayeshindania nae taji.
Kocha Fadlu sio tu kwamba Hana mbinu za kumfunga Yanga Bali amekosa mbinu ya kupata hata bao Moja katika michezo minne mfululizo.
Fadlu anazitegemea timu zingine kama Azam zimfunge Yanga...
Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry.
Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla.
Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
Shalom shalom
Kwasisi watu wa Pwani tunaojua maana ya neno ubaya ubwela, tunajua uzito wa hili neno na maana yake hasa Kwenye masuala ya upande wa giza.
Simba abadili msemo au aendelee kuteseka, mm kama mwanajangwani kwasasa nimejawa na roho ya huruma hivo ningependa wapate chochote msimu huu...
Simba sc inatakiwa isafishwe abaki muwekezaji tu pale, kuanzia idara ya habari hadi viongozi wote wapigwe chini.
Waanze upya kiuongozi ndio mambo mengine yafuate, unaenda kwenye vita na jopo lile lile ambalo mipango yenu inavuja kwa maadau?
Wanasimba tunzeni huu uzi hamuwezi kuwa mabingwa...
Klabu ya Simba ikiwa inaelekea kumaliza Pre season yake huko Misri inataraji Kucheza Michezo miwili ya kimataifa ya kirafiki
.
Simba itacheza na Wadi degla ambayo inashiriki ligi kuu ya Misri kesho tarehe 26 na Mchezo mwingine itacheza na Fs Fassel kutoka Liberia na Fessel ni Bingwa wa Liberia...