simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
  2. Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

    Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika. Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
  3. Wachambuzi na wanahabari isemeeni Taifa Stars zaidi kuliko Simba na Yanga

    Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda timu yao? mnasubiri kulipwa ili kuichambua na kuhamisha watu kuipenda na kujaza viwanja wakati wa...
  4. Ushindi wa Simba kwa Yanga upo hivi

    Kwa wanaohusika huko Simba Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro. Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
  5. Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

    Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo. Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga...
  6. Maono yangu kuhusu mpira mwaka huu World Wide

    Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT) 1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL. kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje...
  7. Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

    Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
  8. Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

    Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
  9. D

    Hakuna timu CAF ya kuitoa Simba makundi Wala robo fainali

    I will be short a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams. Simba has bigger budget. bigger fan base. bigger presence, no hard feelings but Simba will win almost all game in that group. am rooting for...
  10. Hivi CAF wanajua kwa huku Tanzania tukio la kupanga makundi tu limekuwa ni habari ya kitaifa?

    Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli. Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup. Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama...
  11. K

    Yanga jipangeni kisaikolojia, Oktoba 19 kipigo hakiepukiki

    Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi. Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
  12. Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria. Kwa...
  13. Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
  14. Kati ya Simba SC na CRDB Plc ni ipi inafaidika na udhamini?

    Salaam Big thinkers Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali. 1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black. 2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo...
  15. SAIKOLOJIA YA SOKA: Usajili wa Elias Mpanzu Simba SC ni usajili wa kisiasa ili kuwapumbaza mashabiki na wanachama kuficha makosa, Mpanzu ni Garasa

    Kama kawaida wakuu. Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani. Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu. Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
  16. Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  17. Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

    Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru. "Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
  18. Haya ni maoni yangu kama mpenzi wa Simba: Ahmed Ally hatufai, anaichomesha timu

    Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote. Hana bahati na Simba.
  19. Mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe

    Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂 Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe" Yana anasema Viongozi wa wajibike...
  20. Simba SC yapewa ONYO na BMT kuhusu uvunjanji wa Katiba na Uongozi mbovu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…