simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Simba SC isipoteze muda Kucheza na Yanga SC na iwape tu Points zao 6 nilikosea au nilikuwa sawa?

    Na leo narudia tena kusema hicho hicho kuwa Simba SC iwaombe TFF iwape Yanga SC alama (points) zao Sita (6) kwani kamwe kwa aina ya Viongozi Wanafiki na Virusi Watano walioko Klabuni akiwemo Msemaji Ahmed Ali Simba SC haitoifunga kamwe Yanga SC. Kwa kujiamini kabisa leo narudia tena kusema...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC

    Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote. Simba Sc dhidi ya Yanga Sc kwenye michezo minne iliyopita: Simba Sc 0-1 Yanga Sc (Ligi Kuu) Yanga Sc 1-0 Simba Sc (Ngao ya Jamii) Yanga Sc 2-1...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tufanyeje ili wanasiasa wenye agenda zao wasiingilie michezo? Ni wavugaji wanaoua michezo

    Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo. Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni uchuro wenye nuksi mbaya na laana! Mimi ni mwana SIMBA original kabisa.. Na Nilikuwa na imani kubwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

    Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii. Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Simba bado inamuhitaji John Bocco

    Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga. Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili JKT...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Kariakoo Derby! Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo? Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12. Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naona Yanga wamekimbilia kwa watoto yatima kujinusuru na Kimbunga Ateba kesho

    Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima. Kesho ima faima łazima heshima irudi...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kesho simba atashinda huu ndo utabiri wangu

    Mimi sio shabiki wa mpira Ila nimeamua kufanya utabiri Simba anashinda kesho nimeona hivyo
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

    Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga. Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa. Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia game ya Simba dhidi ya Yanga, inamalizika bila goli

    Tayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza. Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

    KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili kwamba game ya Kesho Simba inaweza kushinda goli nyingi

    Zinaweza kufika 7 na kama zitapungua zitakuwa 4. Baada ya game msiniulize nilijuaje
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwenye ulimwengu wa roho, Simba 1 Yanga 3

    Mechi ya tarehe 19 Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39 na Duke Abuya dk ya 76. Goli pekee la Simba limefungwa na Ngoma Tumepambana kwenye ulimwengu wa...
  14. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Dini kubwa Tanzania hivi hakuna vipaji?

    Habari ndugu zangu kutokana na matokeo mabovu ya Taifa Stars inaenekana dini kubwa Tanzania tunashindwa kupambania taifa kwenye michezo hasa football. Vilabu vya kariakoo vimejaza dini moja kwenye vikosi vyao mpaka watumishi wa hivo vilabu wanamlengo wa dini moja. Hivyo kama mtanzania...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Db e aqpa kuwakanda simba sc

    kama atafanikiwa nitakuwa mmoja wa watakaompongezq sana brda amesema hayo baadaya kukiwasha dk 10 uwanjan akiiaaidia timuyake wana simba mjipange matesooyakoo palepalee kaziiendeleee
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha ya jeraha la Ibra Bacca yashtua wengi, Je kuikosa mechi ya Kariakoo Derby Oktoba 19?

    Picha ya jeraha la Ibrahim Abdallah Hamad a.k.a Ibra Bacca, beki kisiki na tegemeo ndani ya kikosi cha yanga yashtua wengi ikiwa zimesalia siku takribani mbili tu kuelekea Oktoba 19 kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo utakao wakutanisha na Simba SC. Bacca ali-share picha hii Instagram (insta...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama kuna siku Simba mtajuta kucheza na Yanga ni 19 Oktoba

    Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga Pengine ni zaidi ya vs Kagera Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo. Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati inahangaika kupindua matokeo na ukweli wanajua walichoelezwa Kifupi tu yanga atashinda kuanzia goki 3...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Bacca kuikosa derby?

    Kuna taarifa zinasambaa mtandaon baka kuikosa Derby Ana majerahaaa wenye ushahidi yujuzane tusipoteezee muda kwenda uwanjan kabisa
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

    Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda. Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
  20. Nifah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

    Klabu kongwe nchini, Simba Sports Club imeingia vitani na watani zao Yanga Afrika kwenye kinyang'anyiro cha kuzisaka saini za mastaa wa klabu hiyo yenye makao makuu yake Jangwani jijini Dar Es Salaam Pacome Zouzoua na Khalid Aucho. Mastaa hao tegemezi katika kikosi cha kwanza cha Yanga...
Back
Top Bottom