Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Mhe. Edwin Swalle, kuacha kulizungumzia sakata la mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, kwa kuwa tayari suala hilo lipo kwenye ngazi za maamuzi na linaendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa taratibu rasmi.
Mhe. Zungu...