simba day

Simba is the protagonist of Disney's The Lion King franchise. Introduced in the 1994 film The Lion King, Walt Disney Animation's 32nd animated feature, the character subsequently appears in The Lion King II: Simba's Pride (1998) and The Lion King 1½ (2004) as well as the 2019 remake of the original film. Simba was created by screenwriters Irene Mecchi, Jonathan Roberts and Linda Woolverton. While Mark Henn served as Simba's supervising animator as a cub, Ruben A. Aquino animated the character as he appears as an adult.
Simba was inspired by the character Bambi from Disney's Bambi (1942), as well as the stories of Moses and Joseph from the Bible. Additionally, several similarities have been drawn between Simba and Prince Hamlet from William Shakespeare's Hamlet. In 1997, The Lion King was adapted into a Broadway musical, with actors Scott Irby-Ranniar and Jason Raize originating the roles of the cub and adult Simbas, respectively. JD McCrary and Donald Glover voice the cub and adult Simba respectively in the CGI remake.

View More On Wikipedia.org
  1. demigod

    Agosti 8, 2024 wamshauri tu apaki basi dhidi ya Yanga

    Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani. Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo. Hauwezi ukacheza na underdog ambapo 50% ya mchezo unashindwa kusajili shoot on target. Timu inategemea sana individual...
  2. M

    PreGE2025 Mwigulu awatakia heri Wanasimba siku ya Simba day. Naona anatafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi Mkuu ujao 2025

    HAPPY SIMBA DAY Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana, 1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri. 2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni Shabiki wa SIMBA ya Kimataifa. 3) Simba haipati tabu kujaza uwanja iwe tamasha au mechi ya...
  3. M

    Azamu Hawaoneshi Simba Day?

    Wakuu kuna mwenye Taarifa kwanini Azamu hawaoneshi Simba day? Maana Channel zote za Sports ni nyeusi, hazioneshi chochote
  4. mdukuzi

    Matamasha ya Simba Day na siku ta wananchi yanaogopesha makocha na wachezaji wa kigeni

    Ile nyomi na shamrashamra kisaikolojia huwa inawatoa wachezaji na makocha kweny focus yao maana hudhani hizi timu ni kuuubwa na ziko serias,mwishO wa siku hukosa kujiamini. Subiri zicheze na na timu za kawaida kama Jkt ,namungi etc ndio ukweli udhihirika kuwa hakuna timu
  5. Medecin

    Kuelekea kilele cha simba day, mchezaji mpya kutambulishwa leo

  6. Komeo Lachuma

    Ubaya ubwela 2024/25: Ovyo sana, ukichaa tu umejaa

    Inanikera sana. Na kuna wanayanga wengi wameingiwa na huu ujinga nao wanaitumia hii kauli mbiu. Jana nimetoka kulumbana na mtu kuwa aache ujinga. Kauli mbiu yetu inafahamika but why anatumia ya Simba. Yule kanijibu tena UBAYA UBWELA. Nikaona hamna mtu pale. Haya mambo sijaelewa akina Priva...
  7. Aigle

    Mashabiki wa Simba tukatae kukosa weledi kwa viongozi wa timu

    Mambo ya ajabu sana kwa mpira wa kitanzania haswa kwa timu za Kariakoo ila naona Yanga wamejitoa kua wasanii na kua na viongozi wapumbavu. Timu ya SIMBA, mchezaji anapewa mkataba, pesa na kila kitu alichoomba, badala ya kuripoti kambini mchezaji anaonesha utovu wa nidhamu kwa kutokuja mahala...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

    Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya. Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
  9. Frank Wanjiru

    SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

    Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
  10. M

    SI KWELI Tiketi za Simba day ziliuzwa kwa mafungu na ulanguzi ili ziishe mapema

    Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono. Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
  11. E

    Mashabiki wa Simba ni hard-working na wengi wana kipato kizuri

    Binafsi nimefanya kazi sehemu nyingi na ofisi. Mashabiki wa simba ni hard working na wengi wana kipato kizuri. Wewe je ,unawaonaje?
  12. L

    Viongozi wa Simba, Simba Day imekwisha tayari sasa nguvu tuelekeze kwenye Ngao tarehe 8 Agosti, 2024, Utopolo wameshaanza ushirikina

    Nawashauri viongozi wangu wa Simba, Yanga ni timu ya kawaida sana endapo ujanja wao wa nje ya uwanja mtaudhibiti, wao wanajifanya wamewekeza kwenye tarehe 4 lakini nataka niwaambie kuwa Utopolo walikuwepo uwanja wa Ndege wakati kikosi chetu kinashuka kikitokea Misri kwenye maandalizi. Baadhi ya...
  13. Ubaya Ubwela

    Tiketi za 'Simba Day - Ubaya Ubwela' zinakaribia kuisha, Yanga mnafeli wapi?

    SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA. Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni. Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy Mara...
  14. Simchezo

    Fally Ipupa- aje Simba day

    Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo. Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
  15. L

    Mashine ya kuongea Ahmed Ally, leo uzinduzi pale Morogoro umedamshi 100%. Hakuna anayekuweza katika eneo hilo

    Lipo jamaa moja linadai limefunguliwa na TFF likidai kwenye eneo la usemaji halina mpinzqni, kwa hili la leo la Ahmed Ally Mashine ya kuongea, aaaah wana simba tumepata msemaji. Huyu bwana kwanza anajua kujenga hoja jukwaani, iwe kwenye media iwe nje ya nchi. Hatujawahi kumsikia Manara wala...
  16. ngara23

    Simba wawaalika APR ya Rwanda siku ya Simba day

    Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August. Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6. Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa...
  17. kavulata

    Simba msibweteke na matokeo ya Simba day

    Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu. Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa Mkapa kuiona timu yao. Hii ilisababisha kocha wa Simba acheze mechi ya ushindani zaidi (must win)...
  18. Blasio Kachuchu

    CRDB yainyamazisha NMB tamasha la Simba Day

    Wakati maelfu ya Watanzania kutoka kila pembe ya nchi wakiacha shughuli zao na kuelekea Lupaso kushuhudia ‘Wenye Nchi,’ Klabu ya Simba ikiukaribisha msimu mpya kwa tamasha lililofana, kikosi cha timu ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB jana kiling’ara kwenye tamasha la Simba Day baada ya...
  19. kavulata

    Sold out ya mchongo imebumbuluka Simba Day

    Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
  20. benzemah

    Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

    Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI...
Back
Top Bottom