Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru...
Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo.
Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kutokea Lebanon
Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon
Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
Wanakumbi.
⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran
Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache iliyopita.
https://x.com/resistance151/status/1823658374384509124?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani.
Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana
Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
Hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pia zinaelezea suala hili:
Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Mtu ambaye anapigania ardhi yake kwa ajili ya kudhibitiwa kwake, ni shahidi." (Sahih Muslim). Hadithi hii inaonyesha kuwa kulinda ardhi yako dhidi ya uadui au uvamizi ni tendo linalopokea hadhi maalum...
Wadau hamjamboni nyote?
Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli
Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon
Mungu ibariki Israel
Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon...
Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako.
Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha.
Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo)
Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter...
Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas.
Maelezo yaliyokuwa yakitolea na Israel ni kwamba Hamas wana mahandaki wanayotumia kuingiza silaha Gaza...
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF.
Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni...
Kuna kitu kimeanza kumtokea Benjamin Netanyahu ambacho hata washirika wake wameanza kupata mashaka.
Msemaji wa masuala ya kiulinzi wa taifa wa Marekani ,John Kirby amesema hata haelewi Netanyahu anazungumza nini.
Hiyo inafuatia baada ya matamshi mengine ya waziri mkuu wa Israel,hapo jana kuwa...
Wiki hii nzima Hizbullah wamekuwa wakirusha makombora mfululizo kuzipiga kambi za jeshi kaskazini ya Israel.Kinachoshangaza majibu ya makombora hayo yamekuwa hafifu sana kutoka kwa Israel ukiondoa yale ya kupiga gari na pikipiki zilizobeba baadhi ya makamanda wa Hizbullah.
Miongoni mwa silaha...
Kutegemea Us ndio awape silaha kupigana na vikundi vya wanamgambo, taifa teule limeanza kuishiwa silaha za msaada, na sasa wameaanza kutumia silaha za zama za mawe.
Huyu bila msaada wa US angeshakuwa ameliwa kiboga zamani sana
https://www.youtube.com/watch?v=j9MgjZ2sLQM
Wajemeni eeh
Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!
Najua humu kuna wengi tu...
ANGALIZO
Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza kubadilika, na ni muhimu kushauriana na mwanasheria au mamlaka husika kwa taarifa zaidi na za kina. Mwandishi...