siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alivyowasili Tanzania (Julai 1, 2024) kwa ziara ya Kitaifa ya siku nne

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Nyusi alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa una mke mtamu

    Siku mwanaume ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa umeoa mke mtamu. Uzi tayari.
  3. JamiiForums Tanzania Mchukueni kabisa basi na Msaliti mwingine Inonga kwani tulishawajua Siku nyingi kuwa mlikuwa mkiwatumia Kutuumiza

    Hongereni ila mwambieni tu kuwa asiwe anasahau kutumia Dawa zake za VRA kwani yule Demu wake yuko Hoi sasa.
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake nchi nzima wakiamka kutetea concept ya "MAMA" ambayo Lissu anaitukana kila siku, Lissu atahimili vishindo?

    Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao. Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka...
  5. JamiiForums Tanzania Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  6. JamiiForums Tanzania Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Signed out forever
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nilitetemeka kwa hofu siku niliposikia rais Samia akisema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja!

    Rais Samia alipoingia madarakani mwaka 2021 katika hotuba zake za mwanzoni kabisa aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Nakumbuka siku ile niliposikia matamshi hayo nilipatwa na hofu ndani yangu kwani kwanza sikutegemea angesema hayo na pili mimi nilielewa maneno hayo yalimaanisha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani ikitooa Shilingi Bilioni 995 mpaka Mei 2024

    Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

    Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000. Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa pamoja na Senegal, Uruguay, Denmark. Kwa Senegal ndio ilikua Mara yao ya kwanza kwenye world cup na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ulitongoza mwanamke wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato mnadai wanaoabudu jumapili wamepotea, siku hiyo ni Alama ya Mnyama, Je wanaoabudu ijumaa badala ya jumamosi nao wamepotea?

    Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye hoja Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu...
  12. JamiiForums Tanzania Bado siku 26 tupate Mshahara wa mwezi july,maana mashahara WA June umeenda haraka sio Poa na kitaa Hali si hali

    Wakuu Mbona Mshahara wa mwezi June umeenda haraka hivi? Mpaka Sasa balance inasoma zero Wakuu na kitaa kigumu Sana na majukumu yamenizidia sijui nifanyeje sijui hapa kama Kuna mdau Wowote anaweza kunikopesha halafu zile tarehe zetu zikifika tutamalizana tu Wakuu Nakuambia mshahara ulipoingia...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  14. JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  16. JamiiForums Tanzania Mnaopinga Ushoga kwenye Mitandao,Je Siku Bunge likipitisha Sheria za Kuwalinda Mashoga mtatoka hadharani kuandamana kuipinga?

    Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu! Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga! Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha...
  17. JamiiForums Tanzania Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

    Hii ya kula mara tatu kwa siku naona kama imetapakaa dunia nzima. Nini chanzo au kunasupportive doc yoyote ya kitaalam. Watu walitakiwa kula wanapohisi njaa na hisia hizo zitakapofikia hatua ya kuona kama nguvu zinawapungua. Kwenye vitabu vya dini hatuoni mungozo wa mtu ale mara ngapi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  19. JamiiForums Tanzania MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  20. JamiiForums Tanzania Alikuwa wapi siku zote?

    Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu! Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda., Kutokana na kuwa mpweke takribani miaka 24 ikabidi nijisogeze karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…