siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

    17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara...
  2. Klabu ya Simba ndiyo mlango wa ustaarabu katika mpira wa Tanzania

    Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
  3. Siku akija Rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga tutakumbuka haya na tusilaumiane

    Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili 1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu. 2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na...
  4. M

    Changamoto ya gereji za magari siku hizi

    Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo. Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha...
  5. Siku hizi shuleni hawatoi ratiba za masomo?

    Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja. Ukifuatilia utagundua mtoto amebeba mzigo wa madaftari ya masomo yote (masomo ya wiki nzima). Daftari la somo la ijumaa...
  6. Mgonjwa aishi siku 104 na moyo wa bandia unaoendeshwa kwa battery.

    Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la kwanza la aina yake aliweza kuondoka hospitali na kwenda numbani katika kipindi hiko. Moyo huo...
  7. Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  8. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  9. M

    Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  10. Tether USDT scam project Kuna siku tutalia sana, Grok AI kaipa red flag kwamba haiamini lakini anataka ni iamini, Je tether ni scam project ya USA?

    Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox. Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni scam project Kwa ninavyo amini Mimi. Lakini Leo nikaona nichart na Grok AI ya marekani. Kwanza...
  11. Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  12. L

    PreGE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

    Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
  13. M

    Lini ni siku ya mnada wa mifugo-Mkata (Handeni)

    Wadau, Naomba kujua siku zipi ni siku za mnada wa mifugo kwa mkata-handeni, natafuta san ambuzi wa kutosha. Natanguliza shukurani kubwa!
  14. Siku hizi siwasikii tena Warusi wa Mbagala na Buza kama ilivyokuwa mwanzoni vita vya Ukraine na Urusi

    Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin. Ila mpaka...
  15. Aljazeera: Ukraine yakubali kusitisha vita ndani ya siku 30

    Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali masharti hayo hayo, kulingana na taarifa ya pamoja ya maafisa Jumanne jioni. "Ukraine ilionyesha...
  16. Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  17. Hivi wanawake mnamiliki siku ngapi maana karibu kila siku ni yenu

    Mna zile za kusafiri angani kila mwezi. Kuna siku ya wanawake duniani. Siku ya maombi ya kina mama. Kuna mothers day. Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
  18. S

    Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

    Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega wameamua kugeukia Mahakama ili kudai haki yao baada ya Mkurugenzi wao, Ndugu Maiko Kachoma, kukaidi matakwa ya sheria na kupuuza maombi yao. Walimu hao, zaidi ya 150, wamempa notisi ya siku tisini kuhakikisha kuwa amekamilisha mchakato wa kuwatoa katika...
  19. Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  20. Wizara ya Afya: Zimetimia Siku 41 hakuna mgonjwa mpya wa Marburg

    Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya. Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg Mkoani Kagera ambapo Wizara imeeleza mwenendo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…